Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukaapa hutakaa uifanye tena?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa Dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss akaniita na kuniambia nimekosa ile nafasi lakini kuna nafasi ya Sales. Nikasema sawa nitaifanya.

Kazi ya sales ni unazunguka kutafuta wateja wa kufanya nao kazi. Mwanzo niliona ni rahisi ila kiukweli niliteseka kuzunguka na hili jua la Dar na nilkuwa natumia gharama nyingi kuliko hata mshahara ninaopokea nilifanya miezi miwili nikaacha kwasababu ilikuwa ni mateso tu.

Sijui mtu anilipe mshahara wa shing ngapi ndo nipate moyo wa kufanya kazi ya sales tena
 
Nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss akaniita na kuniambia nimekosa ile nafasi lakini kuna nafasi ya Sales. Nikasema sawa nitaifanya.

Kazi ya sales ni unazunguka kutafuta wateja wa kufanya nao kazi. Mwanzo niliona ni rahisi ila kiukweli niliteseka kuzunguka na hili jua la dar na nilkuwa natumia gharama nyingi kuliko hata mshahara ninaopokea nilifanya miezi miwili nikaacha kwasababu ilikuwa ni mateso tu. Sijui mtu anilipe mshahara wa shing ngapi ndo nipate moyo wa kufanya kazi ya sales tena
Aisee pole sana ofisi ilikua haikupi hela ya nauli unatoa mfukoni kwako?
 
Hii kitu ni mateso nilijaribu kufanya nikaona hapa napoelekea nitaanza kutembea huku naongea mwenyewe
Mm nilishtuka baada ya kuona wenzangu wanatoka na mabeseni nkawachana live hii kazi sifanyi nikasepa zangu.

Wakati wa usaili wanakuambia utoe buku mbili kwa ajili ya usaili, Mm nikasema sikujua hilo mana wakati wa maelezo yao sikuambiwa hilo.
 
Arusha Mererani kwenye machimbo ya Tanzanite.
Wanaume tunapambana sana wakuu.
Uko chini ya ardhi mita mia, , kanjia kenyewe kadogo.
Mara mabomba ya Oksijeni yazime, unaisikia Baruti inafumua huko huko chini mlipo.
Mimi kule sitarudi tena.
 
Nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa Dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss akaniita na kuniambia nimekosa ile nafasi lakini kuna nafasi ya Sales. Nikasema sawa nitaifanya.

Kazi ya sales ni unazunguka kutafuta wateja wa kufanya nao kazi. Mwanzo niliona ni rahisi ila kiukweli niliteseka kuzunguka na hili jua la Dar na nilkuwa natumia gharama nyingi kuliko hata mshahara ninaopokea nilifanya miezi miwili nikaacha kwasababu ilikuwa ni mateso tu.

Sijui mtu anilipe mshahara wa shing ngapi ndo nipate moyo wa kufanya kazi ya sales tena
Ungejifunza machimbo mengi ya bidhaa mbalimvali DSM,ukaachia ngazi
 
Unaambiwa mshahara ni 1m kumbe ni kuzungusha mabeseni na unalipwa kwa Kamisheni, sasa utauzaje mabeseni mpaka ulipwe 1m per month 😂
Wewe unaenda kitumbini unachukua vitu portable na unaingia post utauza tuu,hayo makopo yao unarudhisha jioni,DSM ina.portable product kibao kama.vile Airfresh za magari,Barth ruffles,fake rings na earrings za kituruki,under pants
 
Nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa Dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss akaniita na kuniambia nimekosa ile nafasi lakini kuna nafasi ya Sales. Nikasema sawa nitaifanya.

Kazi ya sales ni unazunguka kutafuta wateja wa kufanya nao kazi. Mwanzo niliona ni rahisi ila kiukweli niliteseka kuzunguka na hili jua la Dar na nilkuwa natumia gharama nyingi kuliko hata mshahara ninaopokea nilifanya miezi miwili nikaacha kwasababu ilikuwa ni mateso tu.

Sijui mtu anilipe mshahara wa shing ngapi ndo nipate moyo wa kufanya kazi ya sales tena
Kuna uzi kama huu humu,
 
Back
Top Bottom