alaaa fanya masikhara niniUlinzi niliwah kuapa sitafanya ajabu nikapigwa na maisha ikabaki kidogo tu niirudie, mungu akanitetea asee

Hivi wanayatoaga wapi?Kazi ya kuuza, ma-apple stand oya sio poa niliishia kuyala🤣mwenyewe baada ya kupata njaa
Kazi nyingine hizi pmoja na kuwa kazin za kipumbavu. Watu wanafanya si kwa kupendaalaaa fanya masikhara nini![]()
Ni kweli mkuu maana no alternativeKazi nyingine hizi pmoja na kuwa kazin za kipumbavu. Watu wanafanya si kwa kupenda