Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Aisee pole sana ofisi ilikua haikupi hela ya nauli unatoa mfukoni kwako?Nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss akaniita na kuniambia nimekosa ile nafasi lakini kuna nafasi ya Sales. Nikasema sawa nitaifanya.
Kazi ya sales ni unazunguka kutafuta wateja wa kufanya nao kazi. Mwanzo niliona ni rahisi ila kiukweli niliteseka kuzunguka na hili jua la dar na nilkuwa natumia gharama nyingi kuliko hata mshahara ninaopokea nilifanya miezi miwili nikaacha kwasababu ilikuwa ni mateso tu. Sijui mtu anilipe mshahara wa shing ngapi ndo nipate moyo wa kufanya kazi ya sales tena
Masoko haya haya ya Buguruni na Mahakama ya Ndizi?Afisa masoko, kampuni sijui ya Uturuki, India ukisikia huo mchongo kimbia😃
Unapewa vyombo vya plastiki, chupa za chai ukauze upate comissionMasoko haya haya ya Buguruni na Mahakama ya Ndizi?
Hii kitu ni mateso nilijaribu kufanya nikaona hapa napoelekea nitaanza kutembea huku naongea mwenyeweUnaambiwa mshahara ni 1m kumbe ni kuzungusha mabeseni na unalipwa kwa Kamisheni, sasa utauzaje mabeseni mpaka ulipwe 1m per month 😂
Mm nilishtuka baada ya kuona wenzangu wanatoka na mabeseni nkawachana live hii kazi sifanyi nikasepa zangu.Hii kitu ni mateso nilijaribu kufanya nikaona hapa napoelekea nitaanza kutembea huku naongea mwenyewe
Ungejifunza machimbo mengi ya bidhaa mbalimvali DSM,ukaachia ngaziNikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa Dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss akaniita na kuniambia nimekosa ile nafasi lakini kuna nafasi ya Sales. Nikasema sawa nitaifanya.
Kazi ya sales ni unazunguka kutafuta wateja wa kufanya nao kazi. Mwanzo niliona ni rahisi ila kiukweli niliteseka kuzunguka na hili jua la Dar na nilkuwa natumia gharama nyingi kuliko hata mshahara ninaopokea nilifanya miezi miwili nikaacha kwasababu ilikuwa ni mateso tu.
Sijui mtu anilipe mshahara wa shing ngapi ndo nipate moyo wa kufanya kazi ya sales tena
Wewe unaenda kitumbini unachukua vitu portable na unaingia post utauza tuu,hayo makopo yao unarudhisha jioni,DSM ina.portable product kibao kama.vile Airfresh za magari,Barth ruffles,fake rings na earrings za kituruki,under pantsUnaambiwa mshahara ni 1m kumbe ni kuzungusha mabeseni na unalipwa kwa Kamisheni, sasa utauzaje mabeseni mpaka ulipwe 1m per month 😂
Sasa unapewa mabeseni na viti, hivyo vitu portable unapewa na nan?Wewe unaenda kitumbini unachukua vitu portable na unaingia post utauza tuu,hayo makopo yao unarudhisha jioni,DSM ina.portable product kibao kama.vile Airfresh za magari,Barth ruffles,fake rings na earrings za kituruki,under pants
Unachukua kwa wahindi unaacha mabeseni kama dhamanaSasa unapewa mabeseni na viti, hivyo vitu portable unapewa na nan?
Apolo mbna muoga😂Arusha Mererani kwenye machimbo ya Tanzanite.
Wanaume tunapambana sana wakuu.
Uko chini ya ardhi mita mia, , kanjia kenyewe kadogo.
Mara mabomba ya Oksijeni yazime, unaisikia Baruti inafumua huko huko chini mlipo.
Mimi kule sitarudi tena.
Kuna uzi kama huu humu,Nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa Dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss akaniita na kuniambia nimekosa ile nafasi lakini kuna nafasi ya Sales. Nikasema sawa nitaifanya.
Kazi ya sales ni unazunguka kutafuta wateja wa kufanya nao kazi. Mwanzo niliona ni rahisi ila kiukweli niliteseka kuzunguka na hili jua la Dar na nilkuwa natumia gharama nyingi kuliko hata mshahara ninaopokea nilifanya miezi miwili nikaacha kwasababu ilikuwa ni mateso tu.
Sijui mtu anilipe mshahara wa shing ngapi ndo nipate moyo wa kufanya kazi ya sales tena
Hii nilishaipiga ughaibuniKuchoma maiti moto
Hakuna mhindi atafanya hy biashara kichaa, kwan unadhan na wao hawaelewiUnachukua kwa wahindi unaacha mabeseni kama dhamana