alaaa fanya masikhara niniUlinzi niliwah kuapa sitafanya ajabu nikapigwa na maisha ikabaki kidogo tu niirudie, mungu akanitetea asee
Hivi wanayatoaga wapi?Kazi ya kuuza, ma-apple stand oya sio poa niliishia kuyala🤣mwenyewe baada ya kupata njaa
Kazi nyingine hizi pmoja na kuwa kazin za kipumbavu. Watu wanafanya si kwa kupendaalaaa fanya masikhara nini
Ni kweli mkuu maana no alternativeKazi nyingine hizi pmoja na kuwa kazin za kipumbavu. Watu wanafanya si kwa kupenda