Ni kiasi gani ambacho MTU ukiwa na uhakika wa kuingiza kwa siku unaweza kuhesabika kama wewe ni Tajiri?

Jibu lilikuwa hivi
kwanza kwenye definition ya RICH or WEALTH ilisema kwa namna 2, utajiri ni pesa nyingi au vitu au bidhaa nying ambazo in a specific time has makert value,,
ila wakasema kuna watu hiyo DEFINATION KWAO SIO SAHIHI wao wanaamin utajiri ni kuwa na amani ya moyo tu au wengne wanaamin ukisaidia sana masikina bas ww ni tajiri n.k
n.b ukiwa tajiri haimaanish ndo unafuraha zaid

Turudi kwenye mada
mpaka mtu uitwe sio masikini kitu cha kwanza kabisa inabidi uwe na PESA CASH AU MALI ZENYE THAMAN ZISIZOPUNGUWA $2 MILLION sawa na tsh 4.5 bilioni,hicho ni kigezo cha kwanza

kigezo cha pili
au unakipato cha atleast $138,000 kwa mwaka sawa na zaidi ya tsh 300,000,000 kwa mwaka
ambapo kwa mwezi inabid uingize zaidi ya milioni 25 (25,000,000)
na kwa siku uingize atleast lak 8 na ushee (830,000)
naomba kuwasilisha mkuu
 
Sikia.

If you don't find a way to make money while you sleep, you will work until you die. Huyo ni Warren tajiri mkubwa kabisa.

Masualaa ya finance ni somo pana, soma vitabu, onana na washauri wa masuala ya finance.

Kauli ni ya kukata tamaa na ndivyo masikini wengi huwa tunafanya maamuzi mfano "siwezi" wakati tajiri anasema "nitawezaje?"..

So kama mindset yako kwamba kuwa tajiri ni ngumu utaendelea kua hapo hapo.

Ushauri: delete hio programu kichwani ya kwamba utajiri ni mgumu, kwa maana hata katika biblia inasema kinywa huumba.

Tengeneza namna ambayo utakuwa unaingiza pesa hata kama unakula papuchi.

Kingine wekeza sana kwenye assets, vitu ambavyo vinaingiza pesa mfukoni mwako na si vinavyotoa.

Hio ni kwa kuanzia tu, kunaa mengi ya kujifunza.
 
Duh, hii ni kwa mujibu wa utajiri wa Marekani na Ulaya au hata kwetu Africa Mkuu? Usikute waliotoa hii definition hawajui hata kama kuna watu huku dunia ya 3 kupata tu 1M kwa mwezi ni shughuli pevu.
 
Jikite kwenye kitafuta mpunga zaidi, wakati wa hiyo process hakikisha unafanya uwekezaji uwe na mali zinazokuingizia mpunga...
 
Hatari!! Ila akili huna mkuu
haha akili anazo mkuu ndio maana kawez kumake laki kwa siku sawa na 3m kwa mwez(mshahara wa madisi huo) na weng tu wameshndwa kufika hapo ila anachokosa huyu ni kukosa maarifa ya utunzaji pesa mi nachopenda ni mshauri ni KWANZA INABIDI AJUE KUWA SAFARI YAKE YA UCHUMI BADO INAENDELEA NA HAIJAFIKA kwenye climax kwahyo asilirelax then
BANA MATUMIZI YAKO MKUU
BANA MATUMIZI YAKO MKUU
BANA MATUMIZI
Nimerudia mara 3 kwa msisitizo coz nilivyokuelewa ni kipengele hcho ndo unafeli kumbuka LOW EXPENDITURE LEADS TO HIGHER INVESTMENT LEVEL and viceversa is true pia mtafute jamaa anaitwa JOEL NANAUKA AUTHOR kwenye economic mentoring aise yuko vizuri msearch fb,insta,twiter jina ni hlo hilo utanishukuru baadae
 
Hongera sana mkuu.
 
Shukran sana mkuu. Ni bidii, nguvu na bahati kidogo tu ipo siku nitashare uzi.
 
Umeniandikia mimi au mletamada???
 
Inshu za pesa n ngumu mno,kuna mtu anaingiza buku 10 tu lakin ajabu yuko anajenga

Lakin wengine tunaingiza buku 30 lakin tumeshindwa hata kununua kiwanja
 
mkuu umeongea point kwanza kabisa niseme kwenye hicho kiasi nimebahatika kujenga nyumba ninayoishi thaman yake ni max 30mil.... changamoto majukum mkuu kuhusu investment nje ya nyumba na biashara sina kabisa mkuu na kila nikijaribu kuwekeza inashindikana Nina majukum makubwa sana ninasomesha watoto wa ndugu na familia nadhan hii hali ndio inanikwamisha kuhusu Huyo mdau aliesema sina akili nampongeza pia maana ni mtazamo wake ila nisingekosa akili nianzie kumake buku3 kwa wiki had now na make 100k kwa siku na zaidi, na ninavyohis atakuwa hajawai kuingiza hivyo ndio maana anaona angekuw yy angeshakuwa bakhresa
 
Punguza kujifananisha na ridhika na Hali yako...

Pole sana...
 
Biashara gani unaifanya ndugu!? Naona ni miongoni mwa watu wenye bahati na tajir.
Hongera sn, kama inawezekana naomba a.b,c nami nitumie huenda nikatoka kwenye kipato cha 10000 per day nikaingia japo 30000 nitakua nimetoboa sana maisha.
 
utajiri ni mali unazo miliki kihalali hakuna makadirio ya kuingiza pesa kila siku mana kuna majanga,kuyumba kwa biashara, kuanguka kwa uchumi, hivyo hakuna kiwango maalumu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…