Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu lilikuwa hiviHABARI WAKUU, Nimekuwa nikijiuliza hili swali Mara nyingi sana na majibu nilliyokuja kuyapata hakika MTU anaeitwa Tajiri wanapesa nyingi sana, nimegundua hili zaman katika harakati za kutafta tonge ilikuwa hata kuingiza buku3 kwa siku ilikuwa mbinde sana yaani nilikuwa nikikaa naamini kabisa nikipata mchongo ambao walau kwa siku naweza Ku make buku 10 kwa siku nitakuwa nimetoboa, harakat zikaendelea mungu ikafikia hatua nikawa naingiza hata 20 elfu kwa siku ila cha ajabu maisha yakabaki vilevile hakuna lililobadilika maisha yakawa yaleyale tu.
Hapa nikawa nawaza walau ikitokea nikawa na uwezo wa kuingiza 30 kwa siku ndio nitakuwa nishatoboa, harakati zikaendelea kweli mungu si Mshana nikajikuta hiyo pesa inaingia kwa siku tena mda mwingine kwa masaa machache tu ila cha kushangaza maisha yakabaki vilevile yaani hakuna kilichokuja kuwa na unafuu bado nilikuwa najiona wa kiwango cha chini zaidi.
Bado hata pesa ya kulipa kodi ilikuwa inapatikana kwa shida vilevile, bado nikaona walau nikiingiza hata 50 elfu kwa siku hapo sasa nitakuwa ni viwango vingine kabisa kweli bana harakati zimeendelea kusema kweli hadi sasa kwa siku uhakika wa kuingiza 70 elfu hadi 10k na zaidi kwa siku inaingia tena bila kutumia nguvu ila ninachoshangaa bado mambo ni tia maji tia maji yaani Mimi sio lolote sio chochote pamoja kuwa naingiza 100k kwa siku ila cha ajabu hata mtaani sionekani wa maana Niko vilevile yaani naonekana bado nipo kwenye kundi la Wagonga ulimbo AKA tia maji tia maji.
Sina heshima sawa na kama nilivyokuwa nikidhania kuwa nikiwa na uhakika wa kuingiza 100K kwa siku nitakuwa na mwonekano kama wao yaani bado wako vilevile, na kwa maisha budget yangu kwa Siku kiwango cha matumizi 30000 hadi 50000 kwa siku na hapo ni Siku ambazo sina galama za ziada kama kuchakata mbususu za michepuko etc, lakini bado sipati heshima wala kuwafikia wale watu ambao mwanzo nilidhani nitawafikia nikiwa na income kiwango flan perday!
Hapa kwa ambae pengine hajafikia kiwango kiwango hicho perday income atajua nazingua ila wadau ambao wanaingiza hiko hili wanalitambua vizuri,
My take ni kwamba vijana tutafte pesa ili tuishi ila utajiri ni mgum sana tena sana!
kuna makala moja inatoka marekani(utanisamehe nimesahau jina) swali liliuzwa TO WHAT EXTEND DOES A PERSON CONSIDERED TO BE RICH OR NOT POOR?HABARI WAKUU, Nimekuwa nikijiuliza hili swali Mara nyingi sana na majibu nilliyokuja kuyapata hakika MTU anaeitwa Tajiri wanapesa nyingi sana, nimegundua hili zaman katika harakati za kutafta tonge ilikuwa hata kuingiza buku3 kwa siku ilikuwa mbinde sana yaani nilikuwa nikikaa naamini kabisa nikipata mchongo ambao walau kwa siku naweza Ku make buku 10 kwa siku nitakuwa nimetoboa, harakat zikaendelea mungu ikafikia hatua nikawa naingiza hata 20 elfu kwa siku ila cha ajabu maisha yakabaki vilevile hakuna lililobadilika maisha yakawa yaleyale tu.
Hapa nikawa nawaza walau ikitokea nikawa na uwezo wa kuingiza 30 kwa siku ndio nitakuwa nishatoboa, harakati zikaendelea kweli mungu si Mshana nikajikuta hiyo pesa inaingia kwa siku tena mda mwingine kwa masaa machache tu ila cha kushangaza maisha yakabaki vilevile yaani hakuna kilichokuja kuwa na unafuu bado nilikuwa najiona wa kiwango cha chini zaidi.
Bado hata pesa ya kulipa kodi ilikuwa inapatikana kwa shida vilevile, bado nikaona walau nikiingiza hata 50 elfu kwa siku hapo sasa nitakuwa ni viwango vingine kabisa kweli bana harakati zimeendelea kusema kweli hadi sasa kwa siku uhakika wa kuingiza 70 elfu hadi 10k na zaidi kwa siku inaingia tena bila kutumia nguvu ila ninachoshangaa bado mambo ni tia maji tia maji yaani Mimi sio lolote sio chochote pamoja kuwa naingiza 100k kwa siku ila cha ajabu hata mtaani sionekani wa maana Niko vilevile yaani naonekana bado nipo kwenye kundi la Wagonga ulimbo AKA tia maji tia maji.
Sina heshima sawa na kama nilivyokuwa nikidhania kuwa nikiwa na uhakika wa kuingiza 100K kwa siku nitakuwa na mwonekano kama wao yaani bado wako vilevile, na kwa maisha budget yangu kwa Siku kiwango cha matumizi 30000 hadi 50000 kwa siku na hapo ni Siku ambazo sina galama za ziada kama kuchakata mbususu za michepuko etc, lakini bado sipati heshima wala kuwafikia wale watu ambao mwanzo nilidhani nitawafikia nikiwa na income kiwango flan perday!
Hapa kwa ambae pengine hajafikia kiwango kiwango hicho perday income atajua nazingua ila wadau ambao wanaingiza hiko hili wanalitambua vizuri,
My take ni kwamba vijana tutafte pesa ili tuishi ila utajiri ni mgum sana tena sana!
naomba kuwasilisha mkuuambapo kwa mwezi inabid uingize zaidi ya milioni 25 (25,000,000)
na kwa siku uingize atleast lak 8 na ushee (830,000)
Duh, hii ni kwa mujibu wa utajiri wa Marekani na Ulaya au hata kwetu Africa Mkuu? Usikute waliotoa hii definition hawajui hata kama kuna watu huku dunia ya 3 kupata tu 1M kwa mwezi ni shughuli pevu.Jibu lilikuwa hivi
kwanza kwenye definition ya RICH or WEALTH ilisema kwa namna 2, utajiri ni pesa nyingi au vitu au bidhaa nying ambazo in a specific time has makert value,,
ila wakasema kuna watu hiyo DEFINATION KWAO SIO SAHIHI wao wanaamin utajiri ni kuwa na amani ya moyo tu au wengne wanaamin ukisaidia sana masikina bas ww ni tajiri n.k
n.b ukiwa tajiri haimaanish ndo unafuraha zaid
Turudi kwenye mada
mpaka mtu uitwe sio masikini kitu cha kwanza kabisa inabidi uwe na PESA CASH AU MALI ZENYE THAMAN ZISIZOPUNGUWA $2 MILLION sawa na tsh 4.5 bilioni,hicho ni kigezo cha kwanza
kigezo cha pili
au unakipato cha atleast $138,000 kwa mwaka sawa na zaidi ya tsh 300,000,000 kwa mwaka
naomba kuwasilisha mkuu
Eti ee[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari!! Ila akili huna mkuu
haha akili anazo mkuu ndio maana kawez kumake laki kwa siku sawa na 3m kwa mwez(mshahara wa madisi huo) na weng tu wameshndwa kufika hapo ila anachokosa huyu ni kukosa maarifa ya utunzaji pesa mi nachopenda ni mshauri ni KWANZA INABIDI AJUE KUWA SAFARI YAKE YA UCHUMI BADO INAENDELEA NA HAIJAFIKA kwenye climax kwahyo asilirelax thenHatari!! Ila akili huna mkuu
😂😂Mkuu unataka kusema una muonekano wa kibrother K au mimi ndio sikuelewi
Hongera sana mkuu.Inaonekana status yako ya maisha inapanda kadri kipato chako kinavyopanda. Ndio maana unakuwa unaendelea kustruggle kwa sababu pesa unayoingiza si kubwa ukilinganisha na maisha yako.
Jifunze kuishi status ya chini ya kipato chako na utapata pesa ya ziada kwa ajili ya akiba na investments.
Nilivyokuwa na miaka 19 nilipiga dili flani nikapata 4 mil mgao wangu net profit. Nikaanza yale ya maneno ya mtaani nikanunua bodaboda ila sikujiinua status kwa kuwa niliona bado pesa ni kidogo. Nilipata hasara ile boda ila kazi zikaendelea kuingia nilikuwa sikosi mil 2 at least kwenye akaunti
Miaka 21 nikaanza kuingiza pesa nyingi takribani 4 kila mwezi. Ghafla nikajikuta nina zaidi ya 25 mil kwenye akaunti sina cha kufanyia. Bata zikaanza. Nilisafiri na kula kama mil 20. Bahati nzuri biashara ilikuwa inaendelea kuingiza so 20 mil nikaendelea kuwa sikosi kwenye akaunti japokuwa by 23 mwishoni nilikuwa nishaingiza zaidi ya mil 100 ambazo nyingi zilikuwa zimepotea juu kwa juu.
Jambo hilo limenifunza. Nikatafuta sehemu nzuri ya kuishi ambayo nikajua sitahama muda wowote soon na kuendelea na kazi. Lifestyle yangu sikuibadilisha zaidi pia.
Nilipoanza kuingiza pesa nyingi zaidi (100 mil plus) nikawa sikimbizani na maisha ya anasa na nikabaki humble. Nashukuru Mungu nimeweza kufanya mazuri sana kwa pesa hizo badala ya kuila na bado akiba na investment nilizoweka ziko vizuri. Mpango ni kuendelea kuishi simple mpaka 35 na hata ikibidi 40 ili niwe na muda wa kutosha kujenga biashara nzuri zitazoingiza kipato cha kizazi hadi kizazi.
Shukran sana mkuu. Ni bidii, nguvu na bahati kidogo tu ipo siku nitashare uzi.Kumbe humu JF tuna watu wenye maisha haya ya kuingiza 100M+ per month? Nilidhani haya mambo ni nadharia na stories za kusadikika ama fantasies. Hongera sana Mkuu. Siku moja uki-share ulivyoanza na kufikia level hii kibishara hatua kwa hatu utakuwa umetusaidia sana sisi wapambanaji huku chini.
Umeniandikia mimi au mletamada???haha akili anazo mkuu ndio maana kawez kumake laki kwa siku sawa na 3m kwa mwez(mshahara wa madisi huo) na weng tu wameshndwa kufika hapo ila anachokosa huyu ni kukosa maarifa ya utunzaji pesa mi nachopenda ni mshauri ni KWANZA INABIDI AJUE KUWA SAFARI YAKE YA UCHUMI BADO INAENDELEA NA HAIJAFIKA kwenye climax kwahyo asilirelax then
BANA MATUMIZI YAKO MKUU
BANA MATUMIZI YAKO MKUU
BANA MATUMIZI
Nimerudia mara 3 kwa msisitizo coz nilivyokuelewa ni kipengele hcho ndo unafeli kumbuka LOW EXPENDITURE LEADS TO HIGHER INVESTMENT LEVEL and viceversa is true pia mtafute jamaa anaitwa JOEL NANAUKA AUTHOR kwenye economic mentoring aise yuko vizuri msearch fb,insta,twiter jina ni hlo hilo utanishukuru baadae
mleta mada mkuuUmeniandikia mimi au mletamada???
mkuu umeongea point kwanza kabisa niseme kwenye hicho kiasi nimebahatika kujenga nyumba ninayoishi thaman yake ni max 30mil.... changamoto majukum mkuu kuhusu investment nje ya nyumba na biashara sina kabisa mkuu na kila nikijaribu kuwekeza inashindikana Nina majukum makubwa sana ninasomesha watoto wa ndugu na familia nadhan hii hali ndio inanikwamisha kuhusu Huyo mdau aliesema sina akili nampongeza pia maana ni mtazamo wake ila nisingekosa akili nianzie kumake buku3 kwa wiki had now na make 100k kwa siku na zaidi, na ninavyohis atakuwa hajawai kuingiza hivyo ndio maana anaona angekuw yy angeshakuwa bakhresahaha akili anazo mkuu ndio maana kawez kumake laki kwa siku sawa na 3m kwa mwez(mshahara wa madisi huo) na weng tu wameshndwa kufika hapo ila anachokosa huyu ni kukosa maarifa ya utunzaji pesa mi nachopenda ni mshauri ni KWANZA INABIDI AJUE KUWA SAFARI YAKE YA UCHUMI BADO INAENDELEA NA HAIJAFIKA kwenye climax kwahyo asilirelax then
BANA MATUMIZI YAKO MKUU
BANA MATUMIZI YAKO MKUU
BANA MATUMIZI
Nimerudia mara 3 kwa msisitizo coz nilivyokuelewa ni kipengele hcho ndo unafeli kumbuka LOW EXPENDITURE LEADS TO HIGHER INVESTMENT LEVEL and viceversa is true pia mtafute jamaa anaitwa JOEL NANAUKA AUTHOR kwenye economic mentoring aise yuko vizuri msearch fb,insta,twiter jina ni hlo hilo utanishukuru baadae
shkran mkuuHatari!! Ila akili huna mkuu
Biashara gani unaifanya ndugu!? Naona ni miongoni mwa watu wenye bahati na tajir.HABARI WAKUU, Nimekuwa nikijiuliza hili swali Mara nyingi sana na majibu nilliyokuja kuyapata hakika MTU anaeitwa Tajiri wanapesa nyingi sana, nimegundua hili zaman katika harakati za kutafta tonge ilikuwa hata kuingiza buku3 kwa siku ilikuwa mbinde sana yaani nilikuwa nikikaa naamini kabisa nikipata mchongo ambao walau kwa siku naweza Ku make buku 10 kwa siku nitakuwa nimetoboa, harakat zikaendelea mungu ikafikia hatua nikawa naingiza hata 20 elfu kwa siku ila cha ajabu maisha yakabaki vilevile hakuna lililobadilika maisha yakawa yaleyale tu.