Uchaguzi 2020 Ni kichwa ngumu na uzalendo tu kwa CCM: Tundu Lissu anatikisa, smart na anapendwa

TISS ndo wanaamua nani aongoze nchi sio tena wananchi kwenye sanduku la kura??
Labda itokee mwaka huu kwa mara ya kwanza, but mara zote Rais wa Nchi huwa anachaguliwa nje ya sanduku la kura
 
Nguvu ya Tundu Lissu baada ya kusafiri kwa mtumbwi toka Ukerewe si ya kawaida tena, ni kama sio yeye bali amevaa nguvu za maajabu na miujiza.[emoji1536]
 
Mkuu kiu ya wananchi kutaka mabadiliko haikuanza leo, ipo tangu siku nyingi bali staili ya jiwe kutawala nchi kimabavu na kikabila imekuja kuchochea zaodi kiu hiyo lakin kiu ilikuwepo tangu zaman.
 
Licha ya kupotosha umma kwa kutumia uongo, bado hajafikia hata nusu ya Lowasa, robo ya Mrema.

Lissu hana busara ya kuongoza nchi, anafaa tu kuwa kibaraka
 
Aliwashushia nondo wamasai kule ngorongoro mpaka nikasema lisu alizaliwa miaka ya 1800 nn mpaka unaona wamasai shule inawaingia kumbe wamasai walisaini makubaliano na serikali kuwa wataishi milele pale
The guy he is smart
 
Kikwete mwanauchumi? [emoji16]
 
CCM wanakosa political strategist, namshangaa Bashiru na Phd yake ya siasa anashindwa kuelewa mikakati katika uwanja wa siasa,

Nadhani tatizo ni phd zetu za vyeti bila kuwa rutuba katika ubongo.

Unamzuia vipi mtu asifike eneo fulani kwa kampeni?

Ushamba.


Kupanda Mtumbwi kwa Lissu kumpeleka ujumbe kwa wana ukerewe kuwa lissu ni mpiganaji asiyejali dhiki wala raha.

Magufuli itamgharimu pakuwa ukerewe this time, nafikiri naye aende kwa Jahazi kurudisha matumaini
 
Ndo anagombea urais na wananchi wanamkubali sasa na upumbavu wake kama usemavyo wewe😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…