Ni kigogo au fisadi gani papa amewahi kuburuzwa mahakamani tangu Rais Samia ashike usukani?

Ni kigogo au fisadi gani papa amewahi kuburuzwa mahakamani tangu Rais Samia ashike usukani?

Anza kwanza kututajia vigogo wa serikalini waliowahi kushtakiwa enzi za Mwendazake.
Nakumbuka enzi za JK aliwaburuza Mahakamani na kuwafunga waliokuwa mawaziri wa Fedha na Madini
Jiwe aliwaburuza mahakamani akina Kitilya (kamishna TRA), Masamaki (TRA), Sanare (kutoka BoT), Sioi (mtoto wa Lowasa),
 
Awamu hii ni ovyo kabisa kuwahi kutokea katika Historia ya Nchi yetu.
 
Back
Top Bottom