Ni kiongozi gani hajawahi kupiga, kutesa na kuua wapinzani wake hapa Duniani?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.

Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
 
Marehemu wakati ni mbunge, alipata changamoto baada ya meneja wa chama Cha ushirika Biharamulo/chato kutaka kugombea, jamaa alikuwa maarufu sana, alichofanya marehemu ni kumpa sumu, Figo zikafeli, Kila jamaa akifikia tarehe ya kwenda India kwa matibabu, marehemu alikuwa anasababisha faili la jamaa kupotea pale wizara ya afya, mpaka muda wa safari inafika, jamaa anabaki bila kwenda India, jamaa aliokolewa na Mzee wa msoga baada ya Mzee wa msoga "kupelekewa" habari hizo.
 
Sio kweli
 
Wapo tena wengi,tofautisha roho mbaya,akili mbovu,woga wa madaraka,kitisho cha madaraka,hofu ya kukosolewa,kuficha maovu,ufisadi,wizi nia ovu,kung'ang'ania madaraka.vipi kama akitokea mwehu wa kutumia hayo kufanikisha malengo yake,😂
 
Marehemu wakati ni mbunge, alipata changamoto baada ya meneja wa chama Cha ushirika Biharamulo/chato kutaka kugombea, jamaa alikuwa maarufu sana, alichofanya marehemu ni kumpa sumu, Figo zikafeli, Kila jamaa akifikia tarehe ya kwenda India kwa matibabu, marehemu alikuwa anasababisha faili la jamaa kupotea pale wizara ya afya, mpaka muda wa safari inafika, jamaa anabaki bila kwenda India, jamaa aliokolewa na Mzee wa msoga baada ya Mzee wa msoga "kupelekewa" habari hizo.
Wewe unachuki na hayati
 
Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.

Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
Sasa unadhani ni kwa nini wanaotajwa kwenye ukatili ni hao kina Magufuli, Iddi Amin, Hitler and the like.
Mbona hawatajwi kina Kenyata, Banda, kaunda etc
 
Tanzania wapinzani ndio hao hao wanateswa na ndio hao hao wananunulika na ndio hao wenye kula asali.
Hiyo ni misimu tu kama ilivyo Masika,kiangazi,vuli nakadhalika.vipi kama mwehu mmoja kakutesa,kakufunga,kakuteka,kakufilisi,halafu ikatokea, mwingine kakuambia yule mwehu alikionea ila sikuwa na uwezo wa kukutetea, ila sahau yote na utapata vile ulivyodhulumiwa pamoja na haki zilizozuiliwa.Je hapo ni asali au ni fair play,a.k.a maridhiano🤔.Ila haya ni kwa wenye akili tu wataweza kuyaona na kuyaelewa.
 
Lkn wadhani kwa nini tunamuona Magufuli tu ndo muuaji?
Yapo mambo mengine kwenye utawala wake ambayo yamesababisha kumulikwa zaidi hayo mabaya na madhaifu yake kuliko wenzake, mfano wapo watu wakati wa Magufuli walipoteza ajira zao, ilikatika mirija yao, ziliharibika biashara zao, wapo ambao waliamini hagusiki ila waliguswa.

Sasa hao wengi huwezi kuwakuta wanamkosoa Magufuli ile kikawaida bali wanamuelezea kwa yale mabaya tu ili aonekane ni mbaya zaidi.
 
Hiyo ni misimu tu kama ilivyo Masika,kiangazi,vuli nakadhalika.vipi kama mwehu mmoja kakutesa,kakufunga,kakuteka,kakufilisi,halafu ikatokea, mwingine kakuambia yule mwehu alikionea ila sikuwa na uwezo wa kukutetea, ila sahau yote na utapata vile ulivyodhulumiwa pamoja na haki zilizozuiliwa.Je hapo ni asali au ni fair play,a.k.a maridhiano🤔.Ila haya ni kwa wenye akili tu wataweza kuyaona na kuyaelewa.
Hao waliyoteswa kama wangekubali kununulika au kukaa tu kimya basi wasingeteswa na ndio sawa na kula asali au kuridhiana kwamba unakubaliana na mambo fulani nawe unapewa unayotaka.
 
Bi mkubwa sijawahi msikia ameua zaidi kasogeza jua mpaka utosini
 
Back
Top Bottom