Mkuu mbona hujataja watuhumiwa wote ili mada iwe na wigo mpana. Yaani unarukia kwa majirani unaacha kwako.Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.
Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?