Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sio kweliMarehemu wakati ni mbunge, alipata changamoto baada ya meneja wa chama Cha ushirika Biharamulo/chato kutaka kugombea, jamaa alikuwa maarufu sana, alichofanya marehemu ni kumpa sumu, Figo zikafeli, Kila jamaa akifikia tarehe ya kwenda India kwa matibabu, marehemu alikuwa anasababisha faili la jamaa kupotea pale wizara ya afya, mpaka muda wa safari inafika, jamaa anabaki bila kwenda India, jamaa aliokolewa na Mzee wa msoga baada ya Mzee wa msoga "kupelekewa" habari hizo.
Wapo tena wengi,tofautisha roho mbaya,akili mbovu,woga wa madaraka,kitisho cha madaraka,hofu ya kukosolewa,kuficha maovu,ufisadi,wizi nia ovu,kung'ang'ania madaraka.vipi kama akitokea mwehu wa kutumia hayo kufanikisha malengo yake,😂Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.
Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
Wewe unachuki na hayatiMarehemu wakati ni mbunge, alipata changamoto baada ya meneja wa chama Cha ushirika Biharamulo/chato kutaka kugombea, jamaa alikuwa maarufu sana, alichofanya marehemu ni kumpa sumu, Figo zikafeli, Kila jamaa akifikia tarehe ya kwenda India kwa matibabu, marehemu alikuwa anasababisha faili la jamaa kupotea pale wizara ya afya, mpaka muda wa safari inafika, jamaa anabaki bila kwenda India, jamaa aliokolewa na Mzee wa msoga baada ya Mzee wa msoga "kupelekewa" habari hizo.
Hata kipindi cha Msoga CHADEMA waliteswa sana.Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.
Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
Ndugu muuza Kangara,ukiona hata washabiki kindakindaki wa na piga U turn inawezekana wakati fulani walikuwa mateka🤔Wewe unachuki na hayati
Lkn wadhani kwa nini tunamuona Magufuli tu ndo muuaji?Hata kipindi cha Msoga CHADEMA waliteswa sana.
Sasa unadhani ni kwa nini wanaotajwa kwenye ukatili ni hao kina Magufuli, Iddi Amin, Hitler and the like.Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.
Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
Hiyo ni misimu tu kama ilivyo Masika,kiangazi,vuli nakadhalika.vipi kama mwehu mmoja kakutesa,kakufunga,kakuteka,kakufilisi,halafu ikatokea, mwingine kakuambia yule mwehu alikionea ila sikuwa na uwezo wa kukutetea, ila sahau yote na utapata vile ulivyodhulumiwa pamoja na haki zilizozuiliwa.Je hapo ni asali au ni fair play,a.k.a maridhiano🤔.Ila haya ni kwa wenye akili tu wataweza kuyaona na kuyaelewa.Tanzania wapinzani ndio hao hao wanateswa na ndio hao hao wananunulika na ndio hao wenye kula asali.
Mafisadi na familia zao ndio madui wa Magufuli.Lkn wadhani kwa nini tunamuona Magufuli tu ndo muuaji?
Vipi kama ikiwa anayeyasema haya ni fisadi mashuhuri🤔Mafisadi na familia zao ndio madui wa Magufuli.
Kwani ndugu Muuza Kangara,unajua vipi historia ya Mama Muuza mbege wa Rau Madukani🤔Sio kweli
Faili la mgonjwa linafichwa na waziri?Kwani ndugu Muuza Kangara,unajua vipi historia ya Mama Muuza mbege wa Rau Madukani🤔
Yapo mambo mengine kwenye utawala wake ambayo yamesababisha kumulikwa zaidi hayo mabaya na madhaifu yake kuliko wenzake, mfano wapo watu wakati wa Magufuli walipoteza ajira zao, ilikatika mirija yao, ziliharibika biashara zao, wapo ambao waliamini hagusiki ila waliguswa.Lkn wadhani kwa nini tunamuona Magufuli tu ndo muuaji?
Hao waliyoteswa kama wangekubali kununulika au kukaa tu kimya basi wasingeteswa na ndio sawa na kula asali au kuridhiana kwamba unakubaliana na mambo fulani nawe unapewa unayotaka.Hiyo ni misimu tu kama ilivyo Masika,kiangazi,vuli nakadhalika.vipi kama mwehu mmoja kakutesa,kakufunga,kakuteka,kakufilisi,halafu ikatokea, mwingine kakuambia yule mwehu alikionea ila sikuwa na uwezo wa kukutetea, ila sahau yote na utapata vile ulivyodhulumiwa pamoja na haki zilizozuiliwa.Je hapo ni asali au ni fair play,a.k.a maridhiano🤔.Ila haya ni kwa wenye akili tu wataweza kuyaona na kuyaelewa.
Sijataja mtuWewe unachuki na hayati