Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Haisaidii kitu kwani pesa ya mafuta amepewaKuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki.
Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake?
Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani?
Akiwa kwenye majukumu binafsi anatumia pikipiki au ni kwa ajili ya kupigia picha?
Huu ukoloni wa fikra.
Hoja ni kwamba huyo anadanganya kwasababu tayari pesa ya mafuta amelipwa, pikipiki ni danganya totoKwahiyo unatakaje sasa?
Coz naona umelalamika wanatumia v8 kisha pia ukalalamika kua wanatumia Bajaji na Pikipiki!!
Makonda Leo kanifurahisha sana kumtaja Magufuli badala ya Samia hapo dodoma wakati anatoa hotuba muda huu.Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki.
Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake?
Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani?
Akiwa kwenye majukumu binafsi anatumia pikipiki au ni kwa ajili ya kupigia picha?
Huu ukoloni wa fikra.
Siku atakapo anza kuwashika nyeti ndipo akili zitawarudi, bahati mbaya watakuwa wamechelewa, kama ni aibu watakuwa tayari wameshaipata.Nadhani Nchi yetu elimu pia ni tatizo haiingii akilini kwa mtu mwenye wadhifa wa katibu mwenezi ccm kutoa hotuba isiyo yakistaalabu kama ile tena kwa nyakati za mwanzo, mjinga pekee ndo anaweza akatumaini kua atakisaidia chama kukua zaidi.