Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wazee Leo nimebishana na mtu umu in comments anadai ZIDANE was talented than MESSI nikiangalia hoja zake nikimuwekea statistics anakataa individuals achievements pia anazikataa nikimuuza kipaji kwako ni Nini haeleweke nikapata CONCULUSION kuwa anaongea skills ule UDAMBWI .

Sasa katika uwanja wa skills udambwi hao niliowataja Kuna kitu Gani wamemzidi NEYMAR JR?

Tuachane na kule kukalilishwa kuwa Neymar ni bishoo bishoo
 
Kama ni udambwi udambwi tu basi kwangu mimi sijaona wa kumfikia Ronaldinho, ila tukija kwenye rekodi hebu muambie huyo jamaa yako aache kuvuta hicho anachovuta, kama kuna wachezaji ambao walifanya mpira wa miguu uonekane ni mchezo rahisi basi Lionel ndio wa kwanza
 
Uyo anabisha tu mzee
 
Mpira ni mchezo wa timu,makombe ya barcelona au argentina huwezi mbebesha messi pekee yake,kwa skills za mpira messi hasogei kwa gaucho,labda kama hukumshuhudia gaucho
 
Katika swala la kuuchezea mpira,kuuamrisha mpira ufanye anachokitaka basi Gaucho alikuwa mwalimu kwenye hilo yani alikuwa akianza kucheza unafurahi tu kumuona mda wote na mpira hata km ataifunga timu yako. Neymar hajfika hata nusu ya kuuchezea mpira kama alivyofanya Gaucho aisee,Messi pia si mtu wa udambwi udambwi kama Gaucho ila tu Messi anamzidi Gaucho kwenye vitu vingine kama kufunga n.k
 
The reason dinho, neymar, okocha hawana peak longevity Kwenye game ni style of Play, mbwebwe. Ndicho anachofanya vini sasa.

Mpira kwenye shingo, tumboni, tako, no look pass, etc

Hiyo entertainment sio skill.

Pamoja na hizo mbwembwe how many dribles made?, how many dribble succeeded to goal/assist? playmaking(accurate pass completed)?, Big chances created, freekicks? Assists? Game Longevity ? Peak duration?

Hizo ndizo football metrics sio entertainment za kuchezea mpira tako ukifocus huko kila mtu anaweza ila hailipi.

Tricks vs skills vs talent

You mix things ambazo hazikai pamoja.

Kumpita opponent one can dribble, dinho anarusha mpira juu front flipping, neymar the same is that a skill au trick?

Sawa talk about, efficiency, consistency? Impact?
 
Mpira ni mchezo wa timu,makombe ya barcelona au argentina huwezi mbebesha messi pekee yake,kwa skills za mpira messi hasogei kwa gaucho,labda kama hukumshuhudia gaucho
Huyu gaucho kudadeki ile mechi ya pale benabau alipiga boli mpaka mashabiki wa madrid walimpigia makofi...jamaa alikuwa hatari.
Alafu sasa kabla mechi kuanza jamaa anatabasam tuu ready kutoa burudani. Acha kabisa jamaa alijua kuburudisha ulimwengu na miguu yake
 
Mpira ni mchezo wa timu,makombe ya barcelona au argentina huwezi mbebesha messi pekee yake,kwa skills za mpira messi hasogei kwa gaucho,labda kama hukumshuhudia gaucho
Mpira ni mchezo wa team bt rate ya mchango wa kila mchezaji hutofautiana ndo maana kuna wachezaji wakiwa hawapo direct athari zao huonekana.

Mchango wa messi ktk makombe ya barca na argentina ni wa pekee na huenda bila yeye kuna baadhi ya makombe yasingepatikana.
 
Kama ni udambwi udambwi tu basi kwangu mimi sijaona wa kumfikia Ronaldinho, ila tukija kwenye rekodi hebu muambie huyo jamaa yako aache kuvuta hicho anachovuta, kama kuna wachezaji ambao walifanya mpira wa miguu uonekane ni mchezo rahisi basi Lionel ndio wa kwanza
Linapokuja suala la footbal messi ana dunia yake, yule jamaa anatembea kwenye misitu ya mabeki utadhani anatania kumbe ndo safari.
 
Back
Top Bottom