Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

Neymar ni mtu na nusu,
Neymar ni mchezaji aliyekamilika Kila eneo anakupa magoli,burudani, skills,
n.b;I) Wachambuzi wa kibongobongo wanatukaririsha kuwa Neymar ni bishoo.
II)UKITAKA KUJUA NEYMAR NI FUNDI KULIKO GAUCHO,ANGALIA NUMBER ZAO.
Ngoja waje kukubishia ila umemaliza Kila kitu
 
Nenda youtube kama hukuwahi muona gaucho,ambae ungemshangilia tu hata kama anacheza dhidi ya timu yako
Gaucho alikua nabii wa mwisho wa mpira. Alikua na vitu vyote, nguvu, skills na passion ya mpira. Mwenyewe anasema lengo la mpira ni watazamaji wafurahie kuangalia sio wingi wa magoli. Ni mchezaji ambae alikua anashabikiwa hata na timu pinzani.
 
Kiungo twende kwenye assist napo ninae mtetea yupo juu tu
Anamfikia Ronaldo hizo takwimu?!..kama hapana,Ronaldo ni bora kuliko wote?.. football should be an art bro,mpira ni mashariki,wafurahi, skills, mourinho anakwambia messi hufanya kitu kilekile kila siku,yaani chenga ni zikezile za koni kila siku, unadhani haaland akicheza hadi umri wa messi atafunga magoli mangapi?.. haaland ni bora kuliko messi?..nyinyi mliokuja na mambo ya takwimu man shida sana
 
Khe angalia alikuwa anamaliza na assist ngapi na goals ngapi
Nimekuuliza hiyo orodha nikiyoweka wanakosa kombe?.. ibrahimovic alipoenda barce akawa central striker,messi wako akanuna, akamwambia guardioka kama sichezi mfungaji naondoka,guardiola akaachana na ibrahimovic,yaani wakati cadabra yupo pale,no messi no problems
 
Nifafanue nini!?..yaani mtoe messi barcelona wanabaki xavi,iniesta,villa, ibrahimovic, Alves,busquet nk,wanakosa kombe hao!?
Uliowataja umewahi kusikia wanachosema kuhusu mess?

Barca imekuwepo kabla ya messi, ikisheheni wachezaji bora bt mpaka sasa messi ndo mwenye rate kubwa ya mchango wa mafanikio ktk historia ya barca.

Linapokuja suala la kipaji cha mpira, dinyo ni bora kuliko messi bt linapokuja suala la rate ya michango yao messi ni bora kuliko dinyo.
 
Nimekuuliza hiyo orodha nikiyoweka wanakosa kombe?.. ibrahimovic alipoenda barce akawa central striker,messi wako akanuna, akamwambia guardioka kama sichezi mfungaji naondoka,guardiola akaachana na ibrahimovic,yaani wakati cadabra yupo pale,no messi no problems
Rate kubwa ya mchango wa messi ktk mafanikio ya club ndo inamfanya messi kua bora kuliko wengine ktk club.

Kama ingekua ni rahisi kua na rate kubwa ya mchango wa mafanikio, nadhani mpaka sasa wachezaji ulowataja wangekua wanaimbwa kuliko messi.
 
Katika swala la kuuchezea mpira,kuuamrisha mpira ufanye anachokitaka basi Gaucho alikuwa mwalimu kwenye hilo yani alikuwa akianza kucheza unafurahi tu kumuona mda wote na mpira hata km ataifunga timu yako. Neymar hajfika hata nusu ya kuuchezea mpira kama alivyofanya Gaucho aisee,Messi pia si mtu wa udambwi udambwi kama Gaucho ila tu Messi anamzidi Gaucho kwenye vitu vingine kama kufunga n.k
Sio kweli huko ni kukariri tu na mapenz binafs ila kiuhalisia mambo yote anayoyafanya gaucho ktk skills Neymar anaweza kufanya na zaidi, ukiongelea YouTube neymar Ana skills kuzidi gaucho. Naongea hapa nikiwa nimewatazama ns bila ushabiki.
Neymar tunaaminishwa nj Bishoo Bishoo tu na kuukataa ukweli kwenye udambwi udambwi hakuna anachozidiwa na gaucho
 
Hivi unajua hata hizo skills za Neymar kazitoa kwa hao hao kina Gaucho
 
Labdah Discipline ,Neymar ana sifa sana za kipuuzi ila amewazidi vingi hao uliowataja
 
Ngoja waje kukubishia ila umemaliza Kila kitu
Hata Messi maestro lapulga anamkubali Neymar kupita maelezo ndomaana Neymar baada ya kutimka pale new camp lapulga alifadhaika sana.

Note; wakitaka kujua kuwa Neymar mtu na nusu baada ya kuondoka pale Barca ,,akaletwa Coutinho akafeli haikutosha wakamchukua na dembele Naye pia akafeli kuvaa viatu vya Neymar.

Kumbuka Coutinho na dembele wote walitoka kwenye team zao wakiwa wamoto.

kumbuka ; Neymar ametoka katikati ya vita ya Nike na Adidas ambao walikuwa wanatangaziwa biashara zao na Messi na cr7. Hapo Kila kampuni ilitaka mchezaji aliyechini yao kushinda balloon d' or.

nb: KAMA HUNA D' HATA YA SOMO LA DINI HUWEZI KUELEWA.
 
Rate kubwa ya mchango wa messi ktk mafanikio ya club ndo inamfanya messi kua bora kuliko wengine ktk club.

Kama ingekua ni rahisi kua na rate kubwa ya mchango wa mafanikio, nadhani mpaka sasa wachezaji ulowataja wangekua wanaimbwa kuliko messi.
Ni wakati,messi bado anacheza na ni enzi za social media
 
Uliowataja umewahi kusikia wanachosema kuhusu mess?

Barca imekuwepo kabla ya messi, ikisheheni wachezaji bora bt mpaka sasa messi ndo mwenye rate kubwa ya mchango wa mafanikio ktk historia ya barca.

Linapokuja suala la kipaji cha mpira, dinyo ni bora kuliko messi bt linapokuja suala la rate ya michango yao messi ni bora kuliko dinyo.
Football diplomacy babu
 
Back
Top Bottom