Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

ata sijaelewa vizuri, ILa Okocha na Neymar ni takataka, acha kuwateja pamoja na wachezaji wenye uwezo mkubwa
 
Wapo wachezaji ni ngumu sana au haiwezekani kabisa kuiga na kukopi wanachofanya na wako ambao mazoezi mengi na kurudia rudia Kila wakati ndo Siri ya mafanikio Yao.
 
Huyu gaucho kudadeki ile mechi ya pale benabau alipiga boli mpaka mashabiki wa madrid walimpigia makofi...jamaa alikuwa hatari.
Alafu sasa kabla mechi kuanza jamaa anatabasam tuu ready kutoa burudani. Acha kabisa jamaa alijua kuburudisha ulimwengu na miguu yake
Hata Chelsea hawamsahau, aliwafunga lakini wakajikuta wanatabasamu moyoni kwa anachokifanya gaucho
 
Wazee Leo nimebishana na mtu umu in comments anadai ZIDANE was talented than MESSI nikiangalia hoja zake nikimuwekea statistics anakataa individuals achievements pia anazikataa nikimuuza kipaji kwako ni Nini haeleweke nikapata CONCULUSION kuwa anaongea skills ule UDAMBWI .

Sasa katika uwanja wa skills udambwi hao niliowataja Kuna kitu Gani wamemzidi NEYMAR JR?

Tuachane na kule kukalilishwa kuwa Neymar ni bishoo bishoo
Kwanza kila mmoja na position yake, na role yake uwanjani, kulinganisha wachezaji ambao wanacheza nafasi tofauti uwanjani ni kazi.

MESSI over Zidane sawa ila Neymar na Okocha bado kuwa level ya Zidane, Dinho katika prime anaweza kumzidi Zidane ila alikua na prime fupi sana kama misimu miwili MA mitatu tu wakati Zidane alitamba kama miaka 10.

Pia Zidane haitwi bora kwa Magoli na Assist kwamba ugoogle huyu kafunga mangapi basi ndio bora, Sifa kubwa ya Zidane ni kufanya anaocheza nao waone mpira ni rahisi. Kama umri mdogo nenda YouTube angalia Highlight ya Brazil na Ufaransa mwaka 2006 uone kwanini Zidane ni highly rated na anawekwa kundi Moja na kina Maradona, Pelle, Messi na Ronaldo.
 
Acha uongo mtu akishakataa number namuona tapeli sana
 
Kwa hio Vidic na Rio Ferdinand hawakuwa mabeki bora sababu wana Magoli na Assist chache? Na smalling alikua bora sababu alikua anafunga zaidi yao?

Pia data kama stats zimeanza hivi karibuni, hakuna Data za Kumjudge Zidane ama Ronaldinho, hazikuwepo wakati huo. Kampuni nyingi kama Opta zimeanza 2004 kama sijakosea, kama hujawaangalia wakati wanacheza basi huna lolote unalojua kama una subiria kugoogle.
 
Kwaiyo Kuna magoli wamefunga hayajulikani?
 
Hata Chelsea hawamsahau, aliwafunga lakini wakajikuta wanatabasamu moyoni kwa anachokifanya gaucho
Gatusso alipigwa step over Moja matata 🤣🤣🤣🤣
Yule bwana alikuwa entertainer mwenyewe yaani vile vitu wachezaji wote wanafanya kwenye training session na kuviachanhuko huyu mwana alikuwa anavileta kwenye mechi where it matters most.
Alafu jamaa alikuwa anaenjoy boli bwana.

Wachezaji wa siku hizi visingizio kibao oh makocha mara sijui mbinu zinaua kipaji, hamna lolote...wee kama u ajua na unatumia kipaji chako inavyostahili kulingana na mazingira ya mchezo wakati huo, hamna kocha atakuweka bench.
Sasa mtuu kanzu nyingi lakini hazina faida...kwa nini wasikutie bench
 
Gaucho na jj
Wengine watoe hapo wanastahili sehem zingine.
 
Hata Chelsea hawamsahau, aliwafunga lakini wakajikuta wanatabasamu moyoni kwa anachokifanya gaucho
Mtu kama hakumwona gaucho usibishane naye,alimkatia kiuno peter check,akabaki anashangaa kitu Iko nyavuni,
 
Back
Top Bottom