Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

Wadau wengi wanakwambia gaucho is the best..

Gaucho ndio binadamu pekee ambae alikua Aki uamrisha mpira na ukamtii.

Gaucho ndie KIUMBE pekee Alie kufanya mpira atakavyo na mpira ukamtii..

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Neymar hajafanya style Gani gaucho kafanya Neymar hajafanya?
 
Hajawai kufunga lile goli alilo wafungaga Chelsea huku akikata MAUNO Kama gaucho.

Neema hajawai kufunga kwa shuti la Kati Kati ya uwanja.

Gaucho amewai kugandisha mpira kifuani na kukimbia kwa kuwa hadaa maadui..

Gaucho amewai kupiga faulo na free kick ambazo huyo neima hajawai

Neema amewai kushinda world cup??!

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Hajawai kufunga lile goli alilo wafungaga Chelsea huku akikata MAUNO Kama gaucho.

Neema hajawai kufunga kwa shuti la Kati Kati ya uwanja.

Gaucho amewai kugandisha mpira kifuani na kukimbia kwa kuwa hadaa maadui..

Gaucho amewai kupiga faulo na free kick ambazo huyo neima hajawai

Neema amewai kushinda world cup??!

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Katikati kafunga adi caceido wa Chelsea nae ni sawa na gaucho?

Kulikuwa na ulazima Gani kukatika kabla ya kupiga lile shuti kama sio ushoga ni nn?

WC anayo OLIVIER GIROUD je nae ni level moja na gaucho?
 
Hajawai kufunga lile goli alilo wafungaga Chelsea huku akikata MAUNO Kama gaucho.

Neema hajawai kufunga kwa shuti la Kati Kati ya uwanja.

Gaucho amewai kugandisha mpira kifuani na kukimbia kwa kuwa hadaa maadui..

Gaucho amewai kupiga faulo na free kick ambazo huyo neima hajawai

Neema amewai kushinda world cup??!

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Free kick za ajabu Neymar kaangalie game ya Barca vs psg alipokuwa Barca ndiyo utaona Neymar alikuwa kichaa kabisa
 
Kama ni udambwi udambwi tu basi kwangu mimi sijaona wa kumfikia Ronaldinho, ila tukija kwenye rekodi hebu muambie huyo jamaa yako aache kuvuta hicho anachovuta, kama kuna wachezaji ambao walifanya mpira wa miguu uonekane ni mchezo rahisi basi Lionel ndio wa kwanza
Mpira wa kisasa umekuwa biashara zaidi kuliko burudani! Enzi za kina Ronadinho ndizo zilikuwa zinahitimisha enzi za kina Pele ambapo soka lilikuwa burudani kwanza kisha biashara! Makocha wa sasa wanazingaia team work zaidi kuliko personal talent! Leo Pele akicheza kama aliyokuwa anacheza ataishia benchi! Kwa sasa mwisho wa siku inatazamwa uchezaji wako unachangia kiasi gani kwenye kuleta ushindi kuliko kuburudisha!
 
Wazee Leo nimebishana na mtu umu in comments anadai ZIDANE was talented than MESSI nikiangalia hoja zake nikimuwekea statistics anakataa individuals achievements pia anazikataa nikimuuza kipaji kwako ni Nini haeleweke nikapata CONCULUSION kuwa anaongea skills ule UDAMBWI .

Sasa katika uwanja wa skills udambwi hao niliowataja Kuna kitu Gani wamemzidi NEYMAR JR?

Tuachane na kule kukalilishwa kuwa Neymar ni bishoo bishoo
Ronadinho hana mpinzani kwa burudani!

View: https://youtu.be/niKP23e2PH4?t=61
 
Na akishaanza kuwakata mabeki mpira haumponyoki mguuni utasema ana sumaku asee
Huyu kiumbe hana mfano kwenye football, ameifanyia kila kitu footbal, hakika hatumdai japo tutaendelea kuyasimulia maajabu yake vizazi na vizazi.
 
Unauhakika bibi yako hakuwa na tatizo la akili?
Tuliolelewa na wazazi hatuwezi kuandika hicho ulichoandika na tuliokulia Mjini..maana watu wa Vijijini wanaamini sana katika matusi kumbe ni aina fulani ya ushamba tu.
 
Tuliolelewa na wazazi hatuwezi kuandika hicho ulichoandika na tuliokulia Mjini..maana watu wa Vijijini wanaamini sana katika matusi kumbe ni aina fulani ya ushamba tu.
Sasa watu wazima TUNAONGEA unaleta reference ya bibi yako stupidy
 
Free kick za ajabu Neymar kaangalie game ya Barca vs psg alipokuwa Barca ndiyo utaona Neymar alikuwa kichaa kabisa
Hiyo game psg alikula 6
Messi alimuachia Neymar aamue game
 
Sasa watu wazima TUNAONGEA unaleta reference ya bibi yako stupidy
Mkuu mimi situkani ndio ujue malezi yangu na yako ni tofauti kabisaa...una utu uzima gani wa kutukana watu usiowajua..sema umeishi maisha mabovu na unaendelea kuishi life mbovu yenye full stress...
 
Back
Top Bottom