Umejibu kinyonge sana mkuu.Football diplomacy babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejibu kinyonge sana mkuu.Football diplomacy babu
Labda hujaelewa,wachezaji husifiana,hajisifii mwenyeweUmejibu kinyonge sana mkuu.
Umeongea kiuanamichezo zaidi.football ya zaman ina utofaut kidg na ya sasa iv,kuanzia wachezaji wa zaman kulikua na viungo wakabaji na mabeki hodari na katili sana lkn pia enzi za kina gaucho kulikua na mafundi wengi sana ambao hawakuwa wabinafsi ndo maana wengi waligawana tuzo mara moja moja au mtu kazid sana mbili..
waliokuja sasa wanaangalia mafanikio yao sana hasa kibiashara,na ushindan wa mess na ronaldo tu umefanya hao mabwana kuwa na takwim za kuwazid wengne..japo mafanikio yao binafsi yamechangia sana timu zao kupata mafanikio pia
Gaucho, Robinho na Okocha hao watu walikua ni extraordinary.. sio rahisi kwa binadamu wa kawaida kufanya waliyokua wanayafanya...Wazee Leo nimebishana na mtu umu in comments anadai ZIDANE was talented than MESSI nikiangalia hoja zake nikimuwekea statistics anakataa individuals achievements pia anazikataa nikimuuza kipaji kwako ni Nini haeleweke nikapata CONCULUSION kuwa anaongea skills ule UDAMBWI .
Sasa katika uwanja wa skills udambwi hao niliowataja Kuna kitu Gani wamemzidi NEYMAR JR?
Tuachane na kule kukalilishwa kuwa Neymar ni bishoo bishoo
Wakija kushtuka wanaokota mpira wavuniLinapokuja suala la footbal messi ana dunia yake, yule jamaa anatembea kwenye misitu ya mabeki utadhani anatania kumbe ndo safari.
Robinho huyu jamaa sijui kwa nini haimbwi kama kina dilima zidane na kina gaucho. Huyu mbwa nana skills flan huvi usipokuwa makini unaweza mzaba kofi.The reason dinho, neymar, okocha hawana peak longevity Kwenye game ni style of Play, mbwebwe. Ndicho anachofanya vini sasa.
Mpira kwenye shingo, tumboni, tako, no look pass, etc
Hiyo entertainment sio skill.
Pamoja na hizo mbwembwe how many dribles made?, how many dribble succeeded to goal/assist? playmaking(accurate pass completed)?, Big chances created, freekicks? Assists? Game Longevity ? Peak duration?
Hizo ndizo football metrics sio entertainment za kuchezea mpira tako ukifocus huko kila mtu anaweza ila hailipi.
Tricks vs skills vs talent
You mix things ambazo hazikai pamoja.
Kumpita opponent one can dribble, dinho anarusha mpira juu front flipping, neymar the same is that a skill au trick?
Sawa talk about, efficiency, consistency? Impact?
Na wewe unataka kuleta ubishi kama uyo jamaa yako. Suala la ufundi wa ball uyo Gaucho awekwe pembeni walinganishwe hao wengineUfundi unaupimaje kipi gaucho kafanya Neymar hajafanya?
No 1 like MessiLinapokuja suala la footbal messi ana dunia yake, yule jamaa anatembea kwenye misitu ya mabeki utadhani anatania kumbe ndo safari.
Huyu mwamba ana dunia yake, ile speed ya chenga zake unaeza hisi amefungwa mota miguuni.Wakija kushtuka wanaokota mpira wavuni
HatuongeleI kazitoa wapi, tunachokisema walichokifanya hata neymar anaweza kukifanya na zaidHivi unajua hata hizo skills za Neymar kazitoa kwa hao hao kina Gaucho
Neymar hajafurahisha?Gaucho alikua nabii wa mwisho wa mpira. Alikua na vitu vyote, nguvu, skills na passion ya mpira. Mwenyewe anasema lengo la mpira ni watazamaji wafurahie kuangalia sio wingi wa magoli. Ni mchezaji ambae alikua anashabikiwa hata na timu pinzani.
Kupiga zanzu sio kitu kile kile mzee?Anamfikia Ronaldo hizo takwimu?!..kama hapana,Ronaldo ni bora kuliko wote?.. football should be an art bro,mpira ni mashariki,wafurahi, skills, mourinho anakwambia messi hufanya kitu kilekile kila siku,yaani chenga ni zikezile za koni kila siku, unadhani haaland akicheza hadi umri wa messi atafunga magoli mangapi?.. haaland ni bora kuliko messi?..nyinyi mliokuja na mambo ya takwimu man shida sana
Zlatan kaipa Nini Barca?Nimekuuliza hiyo orodha nikiyoweka wanakosa kombe?.. ibrahimovic alipoenda barce akawa central striker,messi wako akanuna, akamwambia guardioka kama sichezi mfungaji naondoka,guardiola akaachana na ibrahimovic,yaani wakati cadabra yupo pale,no messi no problems
Watakubishia mno ila umeongea ukweli mchunguSio kweli huko ni kukariri tu na mapenz binafs ila kiuhalisia mambo yote anayoyafanya gaucho ktk skills Neymar anaweza kufanya na zaidi, ukiongelea YouTube neymar Ana skills kuzidi gaucho. Naongea hapa nikiwa nimewatazama ns bila ushabiki.
Neymar tunaaminishwa nj Bishoo Bishoo tu na kuukataa ukweli kwenye udambwi udambwi hakuna anachozidiwa na gaucho