Tujitahidi kuandika thread tukiwa hatujalewaKama kuna mtu karibu akusaidie kuandika vizuri
Uyo anabisha tu mzeeKama ni udambwi udambwi tu basi kwangu mimi sijaona wa kumfikia Ronaldinho, ila tukija kwenye rekodi hebu muambie huyo jamaa yako aache kuvuta hicho anachovuta, kama kuna wachezaji ambao walifanya mpira wa miguu uonekane ni mchezo rahisi basi Lionel ndio wa kwanza
Mpira ni mchezo wa timu,makombe ya barcelona au argentina huwezi mbebesha messi pekee yake,kwa skills za mpira messi hasogei kwa gaucho,labda kama hukumshuhudia gauchoKama ni udambwi udambwi tu basi kwangu mimi sijaona wa kumfikia Ronaldinho, ila tukija kwenye rekodi hebu muambie huyo jamaa yako aache kuvuta hicho anachovuta, kama kuna wachezaji ambao walifanya mpira wa miguu uonekane ni mchezo rahisi basi Lionel ndio wa kwanza
Nilimtegemea sana neymar kuwa fundi mwingine baada ya gaucho,lakini hata haielewekiKivipi ulitaka afanyeje?
Nenda youtube kama hukuwahi muona gaucho,ambae ungemshangilia tu hata kama anacheza dhidi ya timu yakoUfundi unaupimaje kipi gaucho kafanya Neymar hajafanya?
Neymar sio all Brazilian top scorer mzeeYouTube Neymar hajafanya hayo matusi ?
Kuwa all time Brazilian top score ni mchezo?
Huyu gaucho kudadeki ile mechi ya pale benabau alipiga boli mpaka mashabiki wa madrid walimpigia makofi...jamaa alikuwa hatari.Mpira ni mchezo wa timu,makombe ya barcelona au argentina huwezi mbebesha messi pekee yake,kwa skills za mpira messi hasogei kwa gaucho,labda kama hukumshuhudia gaucho
Tatizo umekuja na majibu Yako, ila Gaucho ni Nabii wa Ufundi wote waYouTube Neymar hajafanya hayo matusi ?
Kuwa all time Brazilian top score ni mchezo?
Mpira ni mchezo wa team bt rate ya mchango wa kila mchezaji hutofautiana ndo maana kuna wachezaji wakiwa hawapo direct athari zao huonekana.Mpira ni mchezo wa timu,makombe ya barcelona au argentina huwezi mbebesha messi pekee yake,kwa skills za mpira messi hasogei kwa gaucho,labda kama hukumshuhudia gaucho
Linapokuja suala la footbal messi ana dunia yake, yule jamaa anatembea kwenye misitu ya mabeki utadhani anatania kumbe ndo safari.Kama ni udambwi udambwi tu basi kwangu mimi sijaona wa kumfikia Ronaldinho, ila tukija kwenye rekodi hebu muambie huyo jamaa yako aache kuvuta hicho anachovuta, kama kuna wachezaji ambao walifanya mpira wa miguu uonekane ni mchezo rahisi basi Lionel ndio wa kwanza