Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Nyinyi Boda Boda mkishapata Boda hata simu hampokei
Vijana wa bodaboda kusema kweli wanatakiwa kubadilika . Siku ya kusaini mkataba mpole unaweza kusema kijana mstaarabu mpe pikipiki sasa uone show. Hesabu haleti, simu hapokei, text hajibu, anatoka kwake saa 11 alfajiri kurudi saa 7 usiku ukimwita anaiacha pikipiki mafichoni anakuja kwa miguu anajua akija nayo utampokonya.ukiwa na pikipiki endesha mwenyewe ukimpa bodaboda imekula kwako
 
Mie nimevuta picha ikanijia ile nyumba ya Mengi kule machame. Ina mazingira hayo.
 
Mimi kwa ninachotamani kwa sasa ni nikutane na mtu ambaye simjui na hanijui hayupo mazingira ninayoishi. Nina upuuzi wangu mmoja hivi nataka nimhadithie nimechoka kukaa na huo upuuzi mwenyewe.
Weka
Location
 
Duu
 
Yaani katika kitu unajirisk ni kumpa bodaboda kijana, jamani wanaojielewa ni wachache sana.
Na wanafanya makusudi sijui maana asilimia kubwa tabia zao zinafanana hasa hasa vijana wa hapa Dar looh.
Ukienda kijiweni anafichama ni tabu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…