Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa bodaboda kusema kweli wanatakiwa kubadilika . Siku ya kusaini mkataba mpole unaweza kusema kijana mstaarabu mpe pikipiki sasa uone show. Hesabu haleti, simu hapokei, text hajibu, anatoka kwake saa 11 alfajiri kurudi saa 7 usiku ukimwita anaiacha pikipiki mafichoni anakuja kwa miguu anajua akija nayo utampokonya.ukiwa na pikipiki endesha mwenyewe ukimpa bodaboda imekula kwakoNyinyi Boda Boda mkishapata Boda hata simu hampokei
Nenda USHOROBATwende basi nitakua nakupikia pikia huko unaweza kuja hata na rafiki ako mi ntakua nawapiga na picha[emoji1787][emoji1787]
Yani serious naitamani mahali kama hiyo halafu nikakae na simu yangu na mziki tu sitaki watu hata
Mie nimevuta picha ikanijia ile nyumba ya Mengi kule machame. Ina mazingira hayo.Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri [emoji16]
Vijana wa ovyo watakuja [emoji116]
"Tafuta pesa"
🤣🤣🤣🤣Maendeleo makubwa kama yapi? Kujenga barabara?
Umekosea masharti[emoji23][emoji23][emoji23]ilibidi upate hela kwanza.Natamani nishike hela mpaka nichanganyikiwe,
Kuchanganyikiwa tayari,bado kushika hela tu.
Ambao hatukawai kufikaaMie nimevuta picha ikanijia ile nyumba ya Mengi kule machame. Ina mazingira hayo.
Mimi kwa ninachotamani kwa sasa ni nikutane na mtu ambaye simjui na hanijui hayupo mazingira ninayoishi. Nina upuuzi wangu mmoja hivi nataka nimhadithie nimechoka kukaa na huo upuuzi mwenyewe.
WekaMimi kwa ninachotamani kwa sasa ni nikutane na mtu ambaye simjui na hanijui hayupo mazingira ninayoishi. Nina upuuzi wangu mmoja hivi nataka nimhadithie nimechoka kukaa na huo upuuzi mwenyewe.
Pambania ndotoHouse kaliii
Comment yako ni kaliNaaam
Paka mafuta ya simba
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sijapata mkuu, hapa nipo namuombea wa kunisapraizi atokee yaaniHope ushapata muamala[emoji2]
Upo free? Nipe namba zako tupige stroryMimi hapa nipo
DuuVijana wa bodaboda kusema kweli wanatakiwa kubadilika . Siku ya kusaini mkataba mpole unaweza kusema kijana mstaarabu mpe pikipiki sasa uone show. Hesabu haleti, simu hapokei, text hajibu, anatoka kwake saa 11 alfajiri kurudi saa 7 usiku ukimwita anaiacha pikipiki mafichoni anakuja kwa miguu anajua akija nayo utampokonya.ukiwa na pikipiki endesha mwenyewe ukimpa bodaboda imekula kwako
Dalesalama mikocheniWeka
Location
Yaani katika kitu unajirisk ni kumpa bodaboda kijana, jamani wanaojielewa ni wachache sana.Vijana wa bodaboda kusema kweli wanatakiwa kubadilika . Siku ya kusaini mkataba mpole unaweza kusema kijana mstaarabu mpe pikipiki sasa uone show. Hesabu haleti, simu hapokei, text hajibu, anatoka kwake saa 11 alfajiri kurudi saa 7 usiku ukimwita anaiacha pikipiki mafichoni anakuja kwa miguu anajua akija nayo utampokonya.ukiwa na pikipiki endesha mwenyewe ukimpa bodaboda imekula kwako