King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Namkubali sana Mnyamwezi wa Kijenge.Chindoman ana flow nzuri....
Kuna watu wana bahati sana...ikibidi kupenya kwenye tundu la sindano wanapenya...ππ€£π€£Lucky & Peace of mind π
Tanzania π amani ni telee
Vip ushawai kufika huko...ππ€£π€£ππHongera mkuu, naona machimbo unayajua
Nimeishia mbande tu mkuuππVip ushawai kufika huko...ππ€£π€£ππ
Ha ha ha.
NdukiMara paap! Mie nakuja kama mgeni au houseboy wako, gardener au gate-man kwa kuwa uko peke yako kwenye mansio lako siku unaniita ndani kwenye varanda lako la kifahari tucheki movie nikupe kampani unaogopa kukaa peke yako.... huku na kule mara paaaap! nimekukula tunda kimasihara boss wangu ππ€€ππΎ
ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈπ¨
Utamla tunda kimasihara huyo naona π€π€π€Tatizo umesema utavaa kikaptula,sasa mimi nikiona miguu tu,nahisi uvumilivu kama unaweza ukaja kunishinda.
π π
Kule maji hata Hali ya hewa huwaga ni nzuri sana.....Nimeishia mbande tu mkuuππ
Makelele yote kumponda Mbowe kumbe maskiniπKushika millioni kumi kwa mara ya kwanza
Yes sir
Aamiin! Na ikawe kheri ππππΎKuna watu wana bahati sana...ikibidi kupenya kwenye tundu la sindano wanapenya...ππ€£π€£
Na uwe mmoja wao Kwa uwezo wa bwana
nipe location nipate na mimi cha kuandika jinsi nitakavyo lishambulia tunda lakoAwwww karibu unikule ππ€ͺ
Yule bwana alileta balaa na ule uzi wake π π ππΎAlaf aje kutusimulia kwenye Uzi pendwa wa rikiboy πππ€£π€£