Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja πŸ‘‡
"Tafuta pesa"
Mara paap! Mie nakuja kama mgeni au houseboy wako, gardener au gate-man kwa kuwa uko peke yako kwenye mansion lako usiku mmoja inatokea unaniita ndani kwenye varanda lako la kifahari tucheki movie nikupe kampani unaogopa kukaa peke yako.... huku na kule mara paaaap! nimekukula tunda kimasihara boss wangu πŸ˜‹πŸ€€πŸ‘πŸΎ

πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸ’¨
 
Natamani kupata 120,000 Tzs nikamilishe malipo ya Domain, Host nk ya Website/Blog yangu changamoto imekuwa kubwa sana pesa napata chache majukumu ya home makubwa nina Goals kadhaa huu mwaka kubwa ila nikikamilisha hii kwa wakati itaweza fungua zingine zaidi kwasbabu nimeamua kwa dhati kuwekeza nguvu kwenye TECHNOLOGY

Mpaka Sasa nimeshandaa makala zaidi ya 100 zenye ujazo wakutosha na kujifunza mbinu za SEO changamoto kumiliki Website, so Mungu anipe mtu atayeniwezesha hili hata kwa mkopo nitamlipa kidogo kidogo kila Mwezi maana changamoto kwangu kumiliki pesa ya pamoja majukumu

Hizi makala za Blog πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2491270

Katika Goal nne za mwaka huu Blogging mojawapo na ndio natakiwa niifanye kwa haraka zaidi (Fast not Shortcut)
View attachment 2491261

Natamani kukamilisha hili kwa wakati sana
Natamani nikusaidie sema huu unaweza kuwa mtego wa wazee wa suti nyeusi; hard to trust anyone here
 
Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri [emoji16]

Vijana wa ovyo watakuja [emoji116]
"Tafuta pesa"
Njoo inbox
 
Kushika millioni kumi kwa mara ya kwanza
Sifa kubwa ya Ndege John ni kuwa na kichwa chenye kisogo kirefu
Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja πŸ‘‡
"Tafuta pesa"
Huku ukisubiri kugegedwa
 
Usisahau movie za kutisha [emoji3]
Ukiwa una angalia muvi za kutisha mfano wa DRAG ME TO HELL....

uwe pekeako ndani....nyumba iwe peke Ake porin porin....
Umeunganisha kwe sabufa sound track.....

πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Ukiwa una angalia muvi za kutisha mfano wa DRAG ME TO HELL....

uwe pekeako ndani....nyumba iwe peke Ake porin porin....
Umeunganisha kwe sabufa sound track.....

[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji2]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umemaliza
 
Back
Top Bottom