Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Natamani kupata 120,000 Tzs nikamilishe malipo ya Domain, Host nk ya Website/Blog yangu changamoto imekuwa kubwa sana pesa napata chache majukumu ya home makubwa nina Goals kadhaa huu mwaka kubwa ila nikikamilisha hii kwa wakati itaweza fungua zingine zaidi kwasbabu nimeamua kwa dhati kuwekeza nguvu kwenye TECHNOLOGY

Mpaka Sasa nimeshandaa makala zaidi ya 100 zenye ujazo wakutosha na kujifunza mbinu za SEO changamoto kumiliki Website, so Mungu anipe mtu atayeniwezesha hili hata kwa mkopo nitamlipa kidogo kidogo kila Mwezi maana changamoto kwangu kumiliki pesa ya pamoja majukumu

Hizi makala za Blog 👇👇
View attachment 2491270

Katika Goal nne za mwaka huu Blogging mojawapo na ndio natakiwa niifanye kwa haraka zaidi (Fast not Shortcut)
View attachment 2491261

Natamani kukamilisha hili kwa wakati sana
Mungu ni WA wotew
 
Back
Top Bottom