Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Natamani sana kupata MWALIMU WA MADAWA, HASA ALIEJIKITA KWENYE KIPENGELE CHA PESA.

NATAMANI SANA KUIJUA HII SAYANSI/ SANAA.

Kama kuna anaeimudu hii sayansi aje pm
Madawa ya binadamu au madawa ya kienyeji....madawa ya kulevya....
 
Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri [emoji16]

Vijana wa ovyo watakuja [emoji116]
"Tafuta pesa"
Huku jamaa amekua livingi room anasubiri kula chakula na kumla mpishi.
 
Back
Top Bottom