Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Kwa kuanzia nakushauri ukatembelee Amani Nature Reserve japo kwa siku tatu. Utayapata hayo unayoyatamani (isipokuwa ghorofa)
 
Back
Top Bottom