Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Yaani unakuta kijana anahanhgaika kuipandisha suruali au kaptula yake aliyoivaa chini ya makalio yake utadhani kweli anaipandisha kiunoni kumbe anajaribu tu kuwaonyesha wanaomtazama kwamba kaivaa nguo hiyo chini ya makalio, na kwakweli haipandishi kiuononi wala nini.
Na baadhi yao,
hujifedhehesha kwa kuonysha nguo zao za ndani huku zikiwa chafu sana au zilizotoboka.
unadhani ni kitu gani hasa huwachochea vijana hao kuvaa hivyo?
Mungu Ibariki Tanzania
Na baadhi yao,
hujifedhehesha kwa kuonysha nguo zao za ndani huku zikiwa chafu sana au zilizotoboka.
unadhani ni kitu gani hasa huwachochea vijana hao kuvaa hivyo?
Mungu Ibariki Tanzania