Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

hawa viumbe hawana formula hivi madem hupagawa na nini haswa kwa mwanaume
mgegedo mkubwa?
handsome?
six pack?
pesa?
akili?
unene?
kitambi?
urefu?
utundu?
ubahili?
starehe?
usuper star? au maana hawa viumbe hawaelewi kiukweli wapo kundi gani ebu tupeane uzoefu wa hawa viumbe maana wanaume wengi wanasema ata kama una ela alafu unasimamia show vizuri ndiyo wananasa zaidi.... ni kweli wanachanganyikiwa na pulling ya kusuguliwa?
Pesa pesa pesa pesa
 
Ngoja tu nikwambie ni asilimia kidgo tu ya wanawake wanapenda hizo mambo za puli sijui/sex
Wengi wao wanapenda true love,yaani umpende,umjali,umthamini,umpe nafasi ya kusikilizwa,ukikosea umuombe msamaha na mengine mengi ambayo yanampendeza
NB😛esa inaongeza raha ya mapenzi kwahy usijidanganye ukampetipeti bila hata kumpeleka dinner/usimpe hata hela ya shopping ukategemea akupende na njaa zako sahau
Na huu ndo ukweli halisi, true love mengine yatafuata.
 
kaka we mfanyie ivyo vyoote unavyosema but ushindwe kumfikisha kileleni then apate wa kumsugua vizuri, hakika nakwambia utashinda humu JF ukiomba ushauri miaka 8
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimecheka sanaaa.
 
Demu anaweza kukupenda kwa kumjali kwako tu kuwa nae karibu hata kwa messeges kama ukiwa mbali,pia anaweza kukupenda kwa kipaji chako either we ni mwandishi mzuri,mwimbaji au kipaji chochote pia ukarimu kwake,uombe msamaha ukiona umekosea,,ila wengine wanapenda ukali wako....abt sex utundu kwa bed inasindikiza vyote hivi
 
Back
Top Bottom