Ni kipi kianze kati ya Katiba Mpya au Kuitoa CCM Madarakani?

Ni kipi kianze kati ya Katiba Mpya au Kuitoa CCM Madarakani?

Kwa akili za baadhi ya watu unaona kabisa ilivyo ngumu hawa jamaa kutoka madarakani, nchi yenye watu zaidi ya 60 ml bado wanauliza wakitoka akae nani? sijui tulipigwa na nini mpaka tunaona bora kuyazoea matatizo, kumtetea mtanzania ni ngumu mno bora kuwaacha tuu hivyo walivyo.
 
Ccm iondolewe tu kwani hiki chama kimenitoka sana moyoni baada utapeli wa kutoza mafao yangu
 
Habari wana JF ,Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji ,Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi ?

Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba ikafuatwa ?

Mi nadhani CCM ni Tatizo katika hii Nchi zaidi ya Katiba .

Elimu ,Elimu na Uzalendo ndio nguzo pekee za kuikomboa hii Nchi kutoka Mikononi mwa hiki .

Elimu inahitajika sana ,watu wengi wanaishi maisha magumu ila hawajui ni kwa namna gani Serikali inaweza saidia maisha yao kuwa bora hivyo hawaoni haja ya Mabadiliko .

Uzalendo ni kitu kikubwa sana watu wengi hawana uzalendo wako radhi washinde mitandaoni au majukwaani kusifia serikali hata ambapo haistahili .Hakuna kitu kibaya kama machawa .

Kama tukikataa CCM kwa umoja wetu ,akili zetu na nguvu zetu hakika itatoka Madarakani na Katiba Mpya itafuatu .

Haihitaji Kuingia barabarani na kuhatarisha Amani ili kuitoa ila kama kila mtanzania kwa akili na uzalendo wake atamua kuitoa itatoka .

CCM husafirisha watu kuja mikutanoni na mambo mengine ili ku justify kitacho kwenda kutokea .watu wakiwa na elimu hawawezi kutumika kama sehemu ya mchezo ,watujua ni mkusanyiko upi wa kwenda na kutokwenda .
Je Deep State wetu ni Wazaledo halisi au wapigaji?
Je nani wa kuivunja ndoa ya TISS?
Je Chama kipi kwa sasa kina viongozi wengi Wazaledo, makini, weledi wenye kuichukia rushwa kwa dhati, wenye kuwahurumia wananchi wake hasa walio wengi wanyonge na wa kipato cha kati?
Kama kipo chama hicho sawa au Kizaliwe Chama Kipya kwa hivi sasa tofauti na hivi vilivyopo sasa vyenye mapandikizi kila mahali.
 
Ccm bado inao mtaji mkubwa mnooo wa wananchi kwa upande wa bara na ndio maana kuna baadhi ya majimbo ubunge ccm unachukua bila ya figisu zozote ila kwa upande wa znz ccm hawana mtaji wa wananchi wa kuweza kupitisha ata diwan na ccm itaendelea kukaa madarakan kwa upande wa bara kwaa mda mrefu sana
Mm ni mwanaccm ninayekukatalia hoja yako waulize waokuwa ktk sensa ndo utayagundua yaliyojificha.
Hata hili la kuzuia mikutano tunaona ni mtaji kwetu lakini ndo mwisho wa akili ya viongozi tulionao.
Labda tuombe Lisu asirudi kwani sioni wa kumzuia kuichukua nchi na kuitawala.
Kwa ujumla tumechokwa kwa kuongoza kijinga na kuwaona watanzania ni wajinga kumbe sisi tunaowaongoza ndo wajinga kwani tumeshindwa kuwaonfolea matatizo yanayowazunguka hapa tunawakosea sana Watanzania
 
Umesema haihitaji kuingia barabarani na kuhatarisha usalama hapo CCM itaendelea kubaki madarakani bila nguvu ya kuingia barabarani...tutakua tunajidanganya tu

Uko sahihi kabisa, nimekuwa nasisitiza kila siku, bila machafuko CCM haiwezi kutoka madarakani. Hatua ya kwanza ya kususia kupiga kura imeanza kufanikiwa, hatua ya machafuko ndio inayopaswa kufuatwa.
 
Kwa akili za baadhi ya watu unaona kabisa ilivyo ngumu hawa jamaa kutoka madarakani, nchi yenye watu zaidi ya 60 ml bado wanauliza wakitoka akae nani? sijui tulipigwa na nini mpaka tunaona bora kuyazoea matatizo, kumtetea mtanzania ni ngumu mno bora kuwaacha tuu hivyo walivyo

Wanaosema CCM ikitoka nani akae, ni hao hao CCM katika mazingira ya kujilinda bila kutumia nguvu. Wanajua kabisa watu wamewachoka, hivyo wanapumbaza watu kuwa hata wao wako tayari kutoka, ila hawaoni mwenye uwezo zaidi yao.
 
Mimi sina shida na CCM kuwatoa madarakani je chama kitaingia ambacho kina kwaajili ya kusimamia maslahi ya wananchi, kina demokrasia nzuri, chenye viongozi wenye vision na pia chenye viongozi wenye maadili

Enzi KANU hapo Kenya inatawala kama CCM, lugha zilikuwa hizi hizi kuwa hakuna chama kinaweza kuongoza Kenya. Leo hii KANU ni maiti hai, na kila uchaguzi Kenya kuna chama kingine. Lakini bado Kenya ina uchumi mzuri kuliko sisi makondoo wa Tanzania.
 
Habari wana JF ,Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji ,Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi ?

Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba ikafuatwa ?

Mi nadhani CCM ni Tatizo katika hii Nchi zaidi ya Katiba .

Elimu ,Elimu na Uzalendo ndio nguzo pekee za kuikomboa hii Nchi kutoka Mikononi mwa hiki .

Elimu inahitajika sana ,watu wengi wanaishi maisha magumu ila hawajui ni kwa namna gani Serikali inaweza saidia maisha yao kuwa bora hivyo hawaoni haja ya Mabadiliko .

Uzalendo ni kitu kikubwa sana watu wengi hawana uzalendo wako radhi washinde mitandaoni au majukwaani kusifia serikali hata ambapo haistahili .Hakuna kitu kibaya kama machawa .

Kama tukikataa CCM kwa umoja wetu ,akili zetu na nguvu zetu hakika itatoka Madarakani na Katiba Mpya itafuatu .

Haihitaji Kuingia barabarani na kuhatarisha Amani ili kuitoa ila kama kila mtanzania kwa akili na uzalendo wake atamua kuitoa itatoka .

CCM husafirisha watu kuja mikutanoni na mambo mengine ili ku justify kitacho kwenda kutokea .watu wakiwa na elimu hawawezi kutumika kama sehemu ya mchezo ,watujua ni mkusanyiko upi wa kwenda na kutokwenda .

Mafanikio katika jambo lolote ni matokeo ya utekelezaji wa mikakati iliyoratibiwa sawa sawa kwa ajili ya kufanikisha jambo.

Hapa tulipo ni muhimu kutenganisha CCM, utawala na katiba mpya.

Elimu? Ambao hawahitaji katiba mpya hawahitaji elimu hao hawataki. Hakuna haja ya kupoteza muda nao.
 
Katiba mpya itangulie,ili tuwe na Tume Huru,matokeo ya uchaguzi yataamua nani anaongoza nchi!
Ccm imechakaa
 
Hivi hii nchi yetu ya Tanzania ina wazee kweli wastaafu walio litumikia hili taifa, waliotumika kwenye ngazi za juu sana za uongozi, wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama, mawaziri wakuu, magavana nk?
Kama wapo ipi nafasi yao kwa Taifa na uongozi wa sasa na ujao kwa hivi sasa kwa maslahi makubwa na mapana ya taifa letu?
Kama wapo wanafurahia na kinachoendelea kwa Taifa letu?
Je hawaoni umhimu wa kuachana na katiba ya miaka 44 iliyopita na kuja na katiba ya rasimu ya Mzee Warioba, hawaoni umhimu wa kuwa na jeshi la Usalama wa taifa lenye maboresho na mabadiliko?
Hawaoni umhimu wa Usalama wa taifa wasiwe na ndoa na chama chochote?
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Vile CCM huwa wanajibu wakiulizwa ni kwa nini nchi hii ni masikini ndani ya utawala wao ndani ya miaka 60 tokea uhuru
 
Mimi sina shida na CCM kuwatoa madarakani je chama kitaingia ambacho kina kwaajili ya kusimamia maslahi ya wananchi, kina demokrasia nzuri, chenye viongozi wenye vision na pia chenye viongozi wenye maadili.
hata tukibadili katiba ccm wakigoma kuifuata ?
 
Kwa akili za baadhi ya watu unaona kabisa ilivyo ngumu hawa jamaa kutoka madarakani, nchi yenye watu zaidi ya 60 ml bado wanauliza wakitoka akae nani? sijui tulipigwa na nini mpaka tunaona bora kuyazoea matatizo, kumtetea mtanzania ni ngumu mno bora kuwaacha tuu hivyo walivyo.
Hakika
 
Habari wana JF

Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi?

Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba ikafuatwa?

Mi nadhani CCM ni Tatizo katika hii Nchi zaidi ya Katiba.

Elimu, Elimu na Uzalendo ndio nguzo pekee za kuikomboa hii Nchi kutoka Mikononi mwa hiki.

Elimu inahitajika sana, watu wengi wanaishi maisha magumu ila hawajui ni kwa namna gani Serikali inaweza saidia maisha yao kuwa bora hivyo hawaoni haja ya Mabadiliko.

Uzalendo ni kitu kikubwa sana watu wengi hawana uzalendo wako radhi washinde mitandaoni au majukwaani kusifia serikali hata ambapo haistahili. Hakuna kitu kibaya kama machawa.

Kama tukikataa CCM kwa umoja wetu, akili zetu na nguvu zetu hakika itatoka Madarakani na Katiba Mpya itafuatu.

Haihitaji Kuingia barabarani na kuhatarisha Amani ili kuitoa ila kama kila mtanzania kwa akili na uzalendo wake atamua kuitoa itatoka.

CCM husafirisha watu kuja mikutanoni na mambo mengine ili ku-justify kitacho kwenda kutokea. Watu wakiwa na elimu hawawezi kutumika kama sehemu ya mchezo, watujua ni mkusanyiko upi wa kwenda na kutokwenda.
Katiba mpya hasa ile ya Rasimu ya WARIOBA ikipatikana yaani ccm itafia usingizini....
 
Ianze kwa kudai Tanganyika yenu ni bora zaidi ya vyote
 
Back
Top Bottom