- Thread starter
- #61
umesema kweliNjia rahisi ya kukitoa CCM madarakani ni kupata katiba mpya, Bila katiba mpya kila siku tutakua tunarudia yale yale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesema kweliNjia rahisi ya kukitoa CCM madarakani ni kupata katiba mpya, Bila katiba mpya kila siku tutakua tunarudia yale yale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni karibu kuliko katibahahahaa huko mbali sana
Tatizo katiba iliyopo ni ya uvamizi unaoitwa muungano. Muungano kisheria Si halali, kwani baraza la Mapinduzi lilitakiwa kukubali na kupitisha hati ya muungano na hawakufanya .Naona tuanze na katiba, ili itulete taasisi bora....then taasisi bora itupe viongozi bora
Tukitengeneza katiba bora tukaifuata tutakuwa na Taifa yenye watu makini
Ninakubaliana na mkuu 'St Paka Mweusi'.Unaijua vizuri tume ya uchaguzi mzee
Ova
Naijua vizuri..Unaijua vizuri tume ya uchaguzi mzee
Ova
Tena ni zaidi jinga pumbavu kwa akili za aina yake hakika nchi yetu ina kazi kubwa kutokomeza maadui wakuu watatu wanaowaandama watanzania UJINGA,UMASIKINI NA MARAZJinga hili
Tena ni zaidi jinga pumbavu kwa akili za aina yake hakika nchi yetu ina kazi kubwa kutokomeza maadui wakuu watatu wanaowaandama watanzania UJINGA,UMASIKINI NA MARAZJinga hili
Chenye uwezekano wa kufanyika harakaHabari wana JF
Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi?
Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba ikafuatwa?
Mi nadhani CCM ni Tatizo katika hii Nchi zaidi ya Katiba.
Elimu, Elimu na Uzalendo ndio nguzo pekee za kuikomboa hii Nchi kutoka Mikononi mwa hiki.
Elimu inahitajika sana, watu wengi wanaishi maisha magumu ila hawajui ni kwa namna gani Serikali inaweza saidia maisha yao kuwa bora hivyo hawaoni haja ya Mabadiliko.
Uzalendo ni kitu kikubwa sana watu wengi hawana uzalendo wako radhi washinde mitandaoni au majukwaani kusifia serikali hata ambapo haistahili. Hakuna kitu kibaya kama machawa.
Kama tukikataa CCM kwa umoja wetu, akili zetu na nguvu zetu hakika itatoka Madarakani na Katiba Mpya itafuatu.
Haihitaji Kuingia barabarani na kuhatarisha Amani ili kuitoa ila kama kila mtanzania kwa akili na uzalendo wake atamua kuitoa itatoka.
CCM husafirisha watu kuja mikutanoni na mambo mengine ili ku-justify kitacho kwenda kutokea. Watu wakiwa na elimu hawawezi kutumika kama sehemu ya mchezo, watujua ni mkusanyiko upi wa kwenda na kutokwenda.
Umemsahau adui mkubwa kuliko wote, Public enemy nr 1 ambaye ni CCMTena ni zaidi jinga pumbavu kwa akili za aina yake hakika nchi yetu ina kazi kubwa kutokomeza maadui wakuu watatu wanaowaandama watanzania UJINGA,UMASIKINI NA MARAZ