Ni kipi kianze kati ya Katiba Mpya au Kuitoa CCM Madarakani?

Naona tuanze na katiba, ili itulete taasisi bora....then taasisi bora itupe viongozi bora
Tukitengeneza katiba bora tukaifuata tutakuwa na Taifa yenye watu makini
 
Naona tuanze na katiba, ili itulete taasisi bora....then taasisi bora itupe viongozi bora
Tukitengeneza katiba bora tukaifuata tutakuwa na Taifa yenye watu makini
Tatizo katiba iliyopo ni ya uvamizi unaoitwa muungano. Muungano kisheria Si halali, kwani baraza la Mapinduzi lilitakiwa kukubali na kupitisha hati ya muungano na hawakufanya .
 
Unaijua vizuri tume ya uchaguzi mzee

Ova
Ninakubaliana na mkuu 'St Paka Mweusi'.

Tume ya uchaguzi wana nguvu kwa vile wapiga kura ni wachache. CCM ikikataliwa na umma wa waTanzania waliopiga kura, Tume ya Uchaguzi kamwe haiwezi kuchezea kura za halaiki zinazoikataa CCM.

Kwa hiyo, tatizo kuu ni hilo la waTanzania wengi kutokwenda kupiga kura.

Kwa hiyo, kwa kuwa hili ni tatizo, inabidi njia za kulitatua zipatikane.

Nani anao ushawishi wa kuwafanya waTanzania wakapige kura?

Ni njia zipi zitumike kuwahamasisha waTanzania kushiriki kwenye kupiga kura?

Haijalishi, hata kama CCM watapata kura zote kihalali za watu hao waliopata mwamko wa kwenda kupiga kura, bado itakuwa ni heshima kubwa kwa chama hicho kama kikiweza kuwashawishi watu wakichague badala ya vyama vingine.

Lakini inafahamika; watu wengi kutojitokeza kwenda kupiga kura ni kwa sababu hawaitaki CCM; na kwa kufanya hivyo wanaendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani.
 
Chenye uwezekano wa kufanyika haraka
 
Tena ni zaidi jinga pumbavu kwa akili za aina yake hakika nchi yetu ina kazi kubwa kutokomeza maadui wakuu watatu wanaowaandama watanzania UJINGA,UMASIKINI NA MARAZ
Umemsahau adui mkubwa kuliko wote, Public enemy nr 1 ambaye ni CCM
 
Reactions: RNA
Lakini mnaijua CCM lakini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…