Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawapy mzee msukuma mwenzangu🤣😂😂😂
Kama huyu sio mtu wa mara basi ni bukoba
😂😂
Wanyaki tu hawa.
Hiyo ndo shida mwanamke ukimpenda Sana wanajiaahau poleAlikua ananijali sana kuanzia sex, muda wa kula, mawasiliano mazuri mda wote, hajawahi kunijibu vibaya
Shida alikuja kwangu na mimba ya ex wake😭😭
Great 👍Alikuwa ananikumbatia usiku kucha nikilala nae😢😢
Usiwaamini wanawake buana, hizo ni mitego yao Tu ili wakupate......mlilia still anajuta kwanini alizaa na huyo mtu. So all in all nashukuru siku zina kwenda
Umenikumbusha demu wangu flani hivi,alikua na utoto mwingi sana.🤣Nilikua nikimtumia hela Kama nimemuudhi kitu anazirudisha alafu hasira zikiisha anaziomba tena
Mlikua mnakumbatiana tu bila kugegedana?Alikuwa ananikumbatia usiku kucha nikilala nae😢😢
Saivi jimbo liko wazi tutie nia?Kungekuwa na uwezo wa kumrudisha duniani,, ningetamani arudi
Mpk sasa ninaogopa mwanaume akinipenda nahisi kama atafariki kama ex wangu
Sikuwahi kupendwa mwanzo kama nilivyo pendwa na yeye.. nilimpenda pia. Hakuna kitu nilikosa kwake.. mahusiano Miaka 2 hatukuwai kugombana kiasi cha kwamba niliona ni miujiza kupata mahusiano kama haya
Nakumis sana Kijana wangu 💔
LohGubu kama mjumbe wa CCM
Inategemea na siku husika😁😁Mlikua mnakumbatiana tu bila kugegedana?
🤣 Ndio ujifunzeBinti wa kibondei wa kuitwa Esther, mtoto ana macho mazuri, mweupe halafu mpole balaa.
Binti alikuwa anajua kubembeleza yule, hata kama umenuna utacheka.
Tatizo mapepe yangu ya ujanani nikaishia kumpoteza na kumuumiza kihisia juu.
Nilimuomba msamaha baadae, sio ili turudiane bali ili nipate amani ya nafsi tu kwa jinsi nilivyomtenda. Alinambia amenisamehe, ila hataki niwe na mawasiliano nae sababu haamini moyo wake kwangu, anaweza nipenda tena na anajua kuwa mimi sipendeki.
Jamaa aliemuoa, kapata mke hasa.
Miaka karibia 20 ishapita, nishavurunda vurunda na kwingine. Na nishajifunza kwa sasa.🤣 Ndio ujifunze
Pole sana Kadogo, nakuelewa, huo uoga huwa unachukua muda sana kuisha 🫂Kungekuwa na uwezo wa kumrudisha duniani,, ningetamani arudi
Mpk sasa ninaogopa mwanaume akinipenda nahisi kama atafariki kama ex wangu
Sikuwahi kupendwa mwanzo kama nilivyo pendwa na yeye.. nilimpenda pia. Hakuna kitu nilikosa kwake.. mahusiano Miaka 2 hatukuwai kugombana kiasi cha kwamba niliona ni miujiza kupata mahusiano kama haya
Nakumis sana Kijana wangu 💔