Ni kipi unachomiss kutoka kwa EX wako ingawa hauwezi kurudiana nae kwa maana ana red flags nyingi

Kungekuwa na uwezo wa kumrudisha duniani,, ningetamani arudi
Mpk sasa ninaogopa mwanaume akinipenda nahisi kama atafariki kama ex wangu
Sikuwahi kupendwa mwanzo kama nilivyo pendwa na yeye.. nilimpenda pia. Hakuna kitu nilikosa kwake.. mahusiano Miaka 2 hatukuwai kugombana kiasi cha kwamba niliona ni miujiza kupata mahusiano kama haya

Nakumis sana Kijana wangu 💔
 
Saivi jimbo liko wazi tutie nia?
 
Binti wa kibondei wa kuitwa Esther, mtoto ana macho mazuri, mweupe halafu mpole balaa.

Binti alikuwa anajua kubembeleza yule, hata kama umenuna utacheka.

Tatizo mapepe yangu ya ujanani nikaishia kumpoteza na kumuumiza kihisia juu.

Nilimuomba msamaha baadae uzeeni, sio ili turudiane bali ili nipate amani ya nafsi tu kwa jinsi nilivyomtenda. Alinambia amenisamehe, ila hataki niwe na mawasiliano nae sababu haamini moyo wake kwangu, anaweza nipenda tena na anajua kuwa mimi sipendeki.

Jamaa aliemuoa, kapata mke hasa.
 
Binti wa kibondei wa kuitwa Esther, mtoto ana macho mazuri, mweupe halafu mpole balaa.

Binti alikuwa anajua kubembeleza yule, hata kama umenuna utacheka.

Tatizo mapepe yangu ya ujanani nikaishia kumpoteza na kumuumiza kihisia juu.

Nilimuomba msamaha baadae, sio ili turudiane bali ili nipate amani ya nafsi tu kwa jinsi nilivyomtenda. Alinambia amenisamehe, ila hataki niwe na mawasiliano nae sababu haamini moyo wake kwangu, anaweza nipenda tena na anajua kuwa mimi sipendeki.

Jamaa aliemuoa, kapata mke hasa.
🤣 Ndio ujifunze
 
Kungekuwa na uwezo wa kumrudisha duniani,, ningetamani arudi
Mpk sasa ninaogopa mwanaume akinipenda nahisi kama atafariki kama ex wangu
Sikuwahi kupendwa mwanzo kama nilivyo pendwa na yeye.. nilimpenda pia. Hakuna kitu nilikosa kwake.. mahusiano Miaka 2 hatukuwai kugombana kiasi cha kwamba niliona ni miujiza kupata mahusiano kama haya

Nakumis sana Kijana wangu 💔
Pole sana Kadogo, nakuelewa, huo uoga huwa unachukua muda sana kuisha 🫂
 
Back
Top Bottom