Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

na kweli hata ukienda pale huwez kuvuma. kuna msanii alienda pale et anajiita 'staa ajaye' yan jina tuu linaonyesha hakuna kitu pale
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanazinguaga kichizi

sauti mbayaaaa kuimba hawajui

alafu yule mtangazaji mtu mbaya sana baada ya kuwaambia ukweli ndo kwanza huwa anawasifia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…