Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Kila Kona nchini watu wamekuwa wakilalamikia Visa vinavyofanywa na Dada wa Kazi.

Visa hivyo hufanyiwa Watoto, na hata Ma Boss wenyewe waliowaajiri.

Wengine hufikia hatua ya kueleza kuwa pengine malezi yanasababisha visa hivyo kutokea.

Mfano wa Kisa kimoja huu hapa chini
 
Attachments

  • 4B84C6B3-A308-4BCD-B137-3966E19A49F7.jpeg
    4B84C6B3-A308-4BCD-B137-3966E19A49F7.jpeg
    41.2 KB · Views: 21
Alikuwa muda wa kazi anakaribisha bwanaake ni story na kupenzika hata wateja wakifika hawahudumiwi kwa wakati, anajivutavuta hadi wanaende kwengine. Nikapewa malalamiko nikafuatilia na kuthibitisha hilo. Nikamkanya muda wa kazi ni kazi, huyo jamaa yake akija aje kama mteja na siyo kuchombezana pale. Hakusikia baadae nikamtimua. Akanisemea kwa wife eti nilimtaka akatakaa ndomaana nimemfukuza
 
Duuu!
 
-Alikuwa na tako hilo kinoma
-Akawa ile noma anaonekana wa moto sana
-Akaombwa mechi akagoma kutoa
-Akafukuzwa arudi kwao akakataa
-Akapelekwa kwa mwenyekiti akasema hawezi fukuzwa kama mbwa,huku kila usiku anapigwa pipe,basi ahesabiwe na kutoa hiyo huduma.

Mengine wahusika watakuja wenyewe.
 
Back
Top Bottom