Cha mbao ni balaa zikiingia kunguni kama vita ya Drc!Kanunue cha mbao mkuu
Hakiishi fashion na ni imara
Hongera sana
Cha chuma je?Kitanda cha mbao ni kizuri mno tenga bajeti angalau cha kuanzia 350K vinakua na muonekano mzuri na uimara.
Kunguni na chawa miaka hii?Ukiwamiliki tu unajulikana ni mchafu kupindukia au mchawi.Cha mbao ni balaa zikiingia kunguni kama vita ya Drc!
Cha chuma ni kizuri ila sijawai kuvielewa mbele ya mbao.Cha chuma je?
Kunguni mkuu sio uchafu huku Dodoma, ukijichanganya kwenye misiba au sherehe za wenyeji lazima uzibebe home! Pia kuna mabasi ya baadhi ya vijiji yana kunguni balaa!Kunguni na chawa miaka hii?Ukiwamiliki tu unajulikana ni mchafu kupindukia au mchawi.
Azingatie usafi bwana kunguni siku hizi sio kihivyoCha mbao ni balaa zikiingia kunguni kama vita ya Drc!
Cha chuma ni gharama kiasi, kizito rahisi kuharibu sakafu na kizito kuhamisha. Usipokifunga vizuri ndiyo kilileta asili ya neno kwichii kwichii! Kama unakumbuka vitanda vya zamani vya chuma na springs. Vilikuwa na minesoneso Ila makelele ya kwichii kwichiii. Super Nova!πππCha chuma ni kizuri ila sijawai kuvielewa mbele ya mbao.
Sidhani kama kitanda cha chuma ni ghali kuliko mbao mengineyo nakubaliana naweCha chuma ni gharama kiasi,kizito rahisi kuharibu sakafu na kizito kuhamisha.Usipokifunga vizuri ndiyo kilileta asili ya neno kwichii kwichii!Kama unakumbuka vitanda vya zamani vya chuma na springs.Vilikuwa na minesoneso Ila makelele ya kwichii kwichiii.Super Nova!πππ
Mbao ni unyama sana.....upate white yake saasa
Wapo mkuu tena wanazaliana balaa kwa lugha ya malkia wanaitwa bedbug kama sijakosea!Azingatie usafi bwana kunguni siku hz sio kihivyo
Nawajua ila sio sababu ya kitanda...Wapo mkuu tena wanazaliana balaa kwa lugha ya malkia wanaitwa bedbug kama sijakosea!
Huku kijijini kwetu mbao ni nyingi mno. Vya vyuma ndiyo bei ghali.Sidhani kama kitanda cha chuma ni ghali kuliko mbao mengineyo nakubaliana nawe