Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

🤣🤣
Mkuu ujue uache dharau, nakujibu comment yako nikiwa kwenye kitanda changu cha kamba.
Samahani muhishimiwa.Nilidhani Ni kama zile hammocks kumbe sivyo.Ila dah!Hata wezi wakiingia humo chumbani ni kazi sana kujua kama umepumzisha fuvu lako hapo.😂😂😂😂😂
 
Ni kitanda gani kizuri na sifa zake nikanunue

Hatimaye kama nilivonuia kwamba mwezi wa tisa hautaisha bila kuwa na kitanda ni karibia mwaka Sasa Mm na mama mtoto wangu tunatupa godoro yetu chini asanteni

Wote mlionipa matumaini tokea siku ya kwanza nilipolalia mabox

MUNGU ASIFIWEEEE
Cha mbao safi sana aise,
cha chuma tatizo lake moja kubwa kadiri kwichikwichi inavyoendelea na chenyewe kinalegea baada ya muda kwenye kwichikwichi kinaanza kulia mithili ya yale madaladala ya huko uchochoroni, ukijigeuza utafikiri unakwepa shimo
 
Back
Top Bottom