Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

Kuna mbao ambayo haipekechwi hovyo wala haibunguliwi ni ngumu na nzito ila tu thamani yake sio kubwa sana ni mkatusi, unaweza kudumu nacho kwa muda sana labda kiishe fashion tu
Kitanda kinaishaje fashion mkuu! Kiko chumbani kwako nani anachunguza! Mimi nina kitanda cha mbao ya mninga mwaka wa 20! Nabadilisha chaga tuu.
 
Ungekua na pesa ningekuunganisha upate kitanda og na kipya cha mninga unachongewa kutoka Lindi kinasafirishwa unakipokea kwenye bus kwa 500,000
Mbona kama bei kubwa sana mkuu, hiki hapa ni mjinga nimekitengeneza kwa 350,00 hapa Dar, sasa huko si ingeweza kuwa bei chini kidogo walao 300,000
IMG-20230704-WA0048.jpg
 
Back
Top Bottom