Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Kabisa...Mbao haitokua na mpinzanii,
Chuma kikianza kulika kwenye maungio ni kelele tuu,
Sofa ndio kabisaa, kuchanika, kuchafuka, kufubaa, bado hujataja uimara na mbao za hovyo zilizofunikwa na kitambaa....
Kua makini na mbao za sikuhizi wanazoita mbao ngumu, mbao inapewa jina mfano Mninga, mkongo n.k, akisema mbao ngumu tuu shtuka.
Hayo ni ma play wood, MBF ya kichina likiingia maji unaokota pumba chini.
NOTE : Epuka furniture iliyopigwa Rangi kabla hujaona mbao yenyewe.
Mbao bado kwangu itaendelea kuwa my Favourite siku zote..
Mimi chuma, sijui sofa hapana aiseee...Siku hizi naona hivyo vya sofa wanaviongezea thamani wanawawekea na viwaka waka[emoji23]