Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

Kuna mbao ambayo haipekechwi hovyo wala haibunguliwi ni ngumu na nzito ila tu thamani yake sio kubwa sana ni mkatusi, unaweza kudumu nacho kwa muda sana labda kiishe fashion tu
Kitanda kinaishaje fashion mkuu! Kiko chumbani kwako nani anachunguza! Mimi nina kitanda cha mbao ya mninga mwaka wa 20! Nabadilisha chaga tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…