Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

🀣🀣
Mkuu ujue uache dharau, nakujibu comment yako nikiwa kwenye kitanda changu cha kamba.
Samahani muhishimiwa.Nilidhani Ni kama zile hammocks kumbe sivyo.Ila dah!Hata wezi wakiingia humo chumbani ni kazi sana kujua kama umepumzisha fuvu lako hapo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cha mbao safi sana aise,
cha chuma tatizo lake moja kubwa kadiri kwichikwichi inavyoendelea na chenyewe kinalegea baada ya muda kwenye kwichikwichi kinaanza kulia mithili ya yale madaladala ya huko uchochoroni, ukijigeuza utafikiri unakwepa shimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…