Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

Kabisa...
Mbao bado kwangu itaendelea kuwa my Favourite siku zote..

Mimi chuma, sijui sofa hapana aiseee...Siku hizi naona hivyo vya sofa wanaviongezea thamani wanawawekea na viwaka waka[emoji23]
 
Kuna rafiki yangu kanunua juzijuzi ananiita Kwa mbwebwe nikaone makochi mazuriiii,nafika pale nakuta yamepambwaa na maufito ya gold yanameremeta Niko oooh but why!

Mbao jamani Iko very class
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbao habari nyingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…