Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

" elite patch ya SAS" Hii ni nini mkuu...?
 

Kwa maujiko hayo ningekuwa mimi totoz zingeilnikoma - akili za kiswahili na ki ngono...πŸ˜€
 
Ugaidi mi naona hauna faida; yaani bosi wako kakaa ofisini eti wewe at very younger age unakwenda kujitoa utumbo - maweee!!!
Magaidi wakishakaririshwa kile kitabu chao akili zinahama kabisa wanaona hapa duniani hapafai.
Wanawaza kuwahi mabikira huko peponi
 
Mkuu huyo mpambe na huyo kibosile walikuwa katika hali ya utani pale magogoni.

Mheshimiwa hakuwa karibu na wao wawili ndipo mpambe akamuua kumtania mwilini!!.

Nimeuchukulia ule utani humu ndani kama mazungumzo ya kawaida ya uchangiaji wa mada lakini wamebuka watu ambao wameamua kumalizia hasira zao za maisha kupitia nilichokiandika!!.
 
Wewe unaleta story zako za vijiweni. Sijui bodyguard ameweka vidole tumboni! Unaonekana mjinga tu.
 
SAS ni walenga shabaha mashuhuri sana, hata ukiwa mbali kivipi wanakutungua
 
Nakubaliana na wewe. Kama utakumbuka,kwenye vita vya Taliban kule Torabora,US alirusha makombora mengi sana kwenye yale mapango. Lakini kutumia binadam kuingia chimbo,lilikua ni jeshi la Uingereza lilituma Askari wake wa miguu kuanza kuingia mapangoni. Jamaa inaonekana wako vizuri sana. Ama US anawashinda UK labda kwa silaha za kisasa na uwingi tu. Kwa mfano Air Force na Marine(Navy) US ni moto wa kuotea mbali akifuatiwa na Russia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha pale ni kama kambi ndogo. Kuna ma spies kule, wanajeshi wakawaida.. special forces pia wapo. Kikinuka ndio utawaona
... neno ubalozi likitajwa namkumbuka Khashogi! Balozi za Saudia zinakuwaga na visu maalum vya kuwachinjia wabaya wao na viroba vya kuhifadhi nyama baada ya kuwacharanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao GSU (General Service Unit) ya Kenya ndio kama FFU huku Tanzania, na sio kweli kuwa hawakuwepo waga wapo tu siku zote toka wakati wa ukoloni.
 
RECCE kazi yao kula mtura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…