Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

safii...ndio maana safari hii shughuli imeisha mapema...maana hivi "vikosi maalum" vya kiafrika hua vmejikita zaidi katika kukabili waandamanaji na magaidi ya upinzani wa vyama vya siasa......mambo ya west gate yyale yaliwashinda wakaishia mpaka baadhi kukwapua vitu vya super market! asanteni sas na US navy SEALs
 
Mkuu mbona huyu jamaa hajakaa ki off duty off duty? Naangalia nyenzo zake si za ki off duty…
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha yule mmojawapo kati ya wale wawili wanayekuwa pembeni ya JPM, sio yule mweusi namaanisha yule mzenji, siku moja alimuwekea vidole bosi mmoja maeneo ya mbavu, jamaa akajikuta anakuwa mpole.

Huyo mjomba akamwambia kibosile hapa nikizidisha kupeleka vidole vyangu mbavuni mwako, nakuondoa duniani.
 
Umeandika kishabiki sana. Alafu 8nakuaje hizo elites forces ziko bize nchi za watu na si kwao?
 

Sasa ndugu Phillipo, ubora wa mwanajeshi unaonekana kwa kutishia kuua raia wa kawaida au kupambana na watu wa aina yako ? Huyu SAS kapambana na wanejeshi wenzako ambao walikuwa wanafanya ugaidi ndiyo maana tukasema ni bora. Sasa huyo Mzenji wetu kaminya mbavu za raia wa kawaida na kutishia kuua halafu wewe unamleta hapa. Kazi kwelikweli.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndugu Phillipo, ubora wa mwanajeshi unaonekana kwa kutishia kuua raia wa kawaidi au kupambana na watu wa aina yako ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa naheshimu mawazo yako lakini nahisi leo umeandika upuuzi. Hapo hatishii kuua anakwenda kuyaua magaidi, ndio maana yupo full kivita.

Huu uzi sio wa siasa zetu za CCM na CDM, mheshimu aliyeupandisha jukwaani.
 
Alitoa wapi zigo la siraha kwa haraka kiasi hicho, tena kwa setup ambayo ni tofauti kabisa na askari wote wa Kenya walioonekana kwenye tukio!!! Most likely yuko on duty
 
Mkuu huwa naheshimu mawazo yako lakini nahisi leo umeandika upuuzi. Hapo hatishii kuua anakwenda kuyaua magaidi, ndio maana yupo full kivita.

Huu uzi sio wa siasa zetu za CCM na CDM, mheshimu aliyeupandisha jukwaani.

Wewe umeandika kipumbavu sana hasa uliposifia mtu kufanya hivyo kwa eti boss!! Yaani boss yupo na boss afu unampiga finger? Huu kwako ndio ushujaa? Unatia kinyaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…