Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Wewe umeandika kipumbavu sana hasa uliposifia mtu kufanya hivyo kwa eti boss!! Yaani boss yupo na boss afu unampiga finger? Huu kwako ndio ushujaa? Unatia kinyaa


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijakuelewa unamaanisha nini!. Uzi unahusiana na huyo SAS member wewe unakuja na habari zisizo na kichwa wala miguu!.

Au ndio yale madhara ya Makonda kuruhusu watu wapige kinywani 24/7?.
 
Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.

SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.

Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje? Acha kutudangnya
 
Mkuu huwa naheshimu mawazo yako lakini nahisi leo umeandika upuuzi. Hapo hatishii kuua anakwenda kuyaua magaidi, ndio maana yupo full kivita.

Huu uzi sio wa siasa zetu za CCM na CDM, mheshimu aliyeupandisha jukwaani.

Nadhani unafanya Red Herring hapa au wewe ndiyo umeandika upuuzi. Hapa tunazungumzia vikosi bora kijeshi ambavyo lengo lake ni kupambana na wanajeshi wengine au magaidi.

Wewe unaleta mambo ya Mzenji kutishia kuua kibosile. Hivi hii ni akili kweli ? Sasa huyo mzenji wako akishatishia kuua raia ndiyo anakuwa bora ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndugu Phillipo, ubora wa mwanajeshi unaonekana kwa kutishia kuua raia wa kawaidi au kupambana na watu wa aina yako ? Huyu SAS kapambana na wanejeshi wenzako ambao walikuwa wanafanya ugaidi ndiyo maana tukasema ni bora. Sasa huyo Mzenji wetu kaminya mbavu za raia wa kawaida na kutishia kuua halafu wewe unamleta hapa. Kazi kwelikweli.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...Maana yangu ni kwamba hata wale wajomba wawili nyuma ya Ngosha na wao ni trained commandos kama huyu Muingereza pichani. Lengo langu ndilo hilo.

Sidhani kama nimeandika kwa nia ya kumkwaza mtu.
 
Nadhani unafanya Red Herring hapa au wewe ndiyo umeandika upuuzi. Hapa tunazungumzia vikosi bora kijeshi ambavyo lengo lake ni kupambana na wanajeshi wengine au magaidi.

Wewe unaleta mambo ya Mzenji kutishia kuua kibosile. Hivi hii nai akili kweli ? Sasa huyo mzenji wako akishatishia kuua raia ndiyo anakuwa bora ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuu Malcom, nilikuwa namaanisha kuwa hata wale wajomba wawili pembeni ya Ngosha na wao ni makomandoo kama huyo Muingereza pichani.
 
Mazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth

Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army unit ya Marekani Wanao operate Katika Sea, Air na Land (combat) Interview na Mafunzo ya Navy Seal ni Magumu kuliko kikosi chochote cha Jeshi Ulimwenguni ni Vigumu sana kupambana nao wanajua Sana Kutumia Silaha na Kujilinda kwa kutumia miili yao Katika Tukio la Dusit walikuepo Navy Seal

Kuna British Special Air Service (SAS) hawa huwa hawaonekani Hovyo ni moja ya Vikosi bora wakiwa wamebobea katika mambo ya Kupambana na Ugaidi, na Kuokoa Mateka katlka Tukio la Dusit alikuepo mmoja ambaye alifika na Gari yenye namba za Ubalozi Akiwa na Mavazi ya Kulinda Mwili na Silaha na Alipambana na Magaidi Direct Mpaka Waingereza wenyewe wanashangaa kuwaona SAS wakipambana mchana kwani huwa wanapenda sana kufanya shughuli zao usiku.

SAS na Navy Seals ni watu waliondoka bila hata mkwaruzo wowote.


SAS huyu ana Kisu kipo tumboni hapo kinaonekana hapo kwa ajili ya mapambano ya Mkono kwa Mkono ana Pisto ana Hiyo Bunduki inayoitwa Modified Colt Canada Rifle Japo kichwani hana Helment huku akiwa katupia Jeans.
View attachment 997444



Najiuliza Kwenye Nchi zinazoendelea Elites Forces Unit kama hizi huwa zipo? Je ni kutokana na Uonevu wa Alshaabab Nchini Kenya Waliombwa waanzishe makazi yao nchini Kenya?
Mkuu Troll historia inasema kwamba vikosi vya ulinzi na usalama vya Marekani kuanzia Intelijensi (OSS na CIA) hadi jeshi vilipata mafunzo makubwa sana kutoka kwa Muingereza. Yaani kama ambavyo Tanzania tulikuwa tunategemea Cuba, Urusi na Uchina, basi Marekani alikuwa anategemea sana Uingereza......

Uwezo wa SAS ni mkubwa sana, sijui hata kwanini imekuwa hivyo. Lakini hata wanajeshi wa nchi nyingine wanasema jamaa wako vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana vitu kama hivi,shukrani sana mkuu kwa huu uzi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Napenda sana vitu kama hivi,shukrani sana mkuu kwa huu uzi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
mkuu unaweza kujilinda; au upo kama mimi mkwara kidogo tu unapanda kwa gari unasepa unaepusha shari.

Vitu vizuri sana hivi naskia hata sisi TZ tupo vizuri sana ila sijui kama mafunzo bado tunategemea Cuba na Urusi tu.
 
Nimekusoma mkuu Malcom, nilikuwa namaanisha kuwa hata wale wajomba wawili pembeni ya Ngosha na wao ni makomandoo kama huyo Muingereza pichani.
Hilo linafahamika mkuu Phillipo na wala halina ubishi wowote ule. Tena wanakuwa ni waliopikwa vizuri sana, kuna mwanajeshi wa Ubelgiji aliwahi kuja Tanzania miaka kama ya 2011 akasema kwamba anakuja kufundishwa na Tanzania. Sababu kuu akaema kwamba JWTZ wako vizur sana na ni rahisi kusoma Tanzania kuliko nchi nyingine.

Kubwa zaidi kuna miaka ya nyuma wanajeshi wa Tanzania waliwahi kufanya mazoezi na wanajeshi wa Uingereza. Prince Charles alisifia sana na kusema kwamba jeshi la Tanzania liko vizuri mno tofauti kabisa na alivyotegemea.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.

Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.

Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.

Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao GSU walikuwa wakora hawakuwa lolote zaidi ya kutia hasala mle ndani kwa kuiba biscuits na matoi ya kuchezea watoto wao.

Au mkuu ni tofauti na wale walioonekana kwenye CCTV camera wakisunda bidhaa?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce.
brother usitulishe matango pori.

GSU na recce ni unit mbili tofauti zenye majukumu tofauti na wala sio unit moja kama ulivyoandika hapo juu.


kimajukumu, GSU ni sawa na FFU hapa tanzania. wanahusika zaidi na masuala ya kutuliza ghasia.ofcos ni unit inayoogopwa sana na wakenya kwa masuala ya kutuliza vurugu.

base yao ipo pembezoni mwa thika highway katika kituo cha matatu(daladala) cha allsops, mkono wa kushoto kama unatokea town(nairobi town) na mkono wa kulia kama unatokea roasters hotel.

wenyewe wapo strict sana kuzuia mgeni asiye mkenya kuingia kwenye base yao.lakini pia hata wenyeji ambao ni civilizians huwa wanakuguliwa sana kabla ya kuruhusiwa kuingia pale.

ila mimi niliingia pale four times kwa siku tofauti tofauti. usiniulize nilikuwa naingia kufanya nini.

kuhusu recce unit ziwezi kuandika sana maana sina taarifa zao kwa kina.ila nahisi ni special operation unit ya KDF.
mkenya MK254 atafafanua zaidi.

HQ ya GSU hii hapa.
Screenshot_2019-01-17-19-32-06-380_com.google.android.apps.maps.jpeg
 
mkuu unaweza kujilinda; au upo kama mimi mkwara kidogo tu unapanda kwa gari unasepa unaepusha shari.

Vitu vizuri sana hivi naskia hata sisi TZ tupo vizuri sana ila sijui kama mafunzo bado tunategemea Cuba na Urusi tu.

Mkuu mimi naweza tu kurushiana vikombe viwili vitatu japo kwa uchache ila ukiniwahi sina guarantee pale utakaponitoa tone la damu huwa nasitisha naokota kilicho mbele yangu nafupisha pambano ila penye manati ya mzungu sitoi pua.

Umenikumbusha mwaka fulani K/koo yalitokea mapambano ya risasi kati ya polisi na majambazi sasa wakati askari wanaozijua silaha wakitambaa chini na vitambi vyao wakatokea wendawazimu flani wamesimama eti wanatizama.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Uongo, GSU ilijulikana sana wakati wa moi nikiishi Nairobi
ndg GSU bado wapo active mpaka leo sio wakati wa moi tu.

maandamano na vurugu zote wanazofanya wakenya, wanatumwa GSU kwenda kutuliza. hayo ndio majukumu yao makuu.
 
Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.

Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.

Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.

Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

GSU ililuwa ikifahamika siku nyingi, binafsi naifahamu toka 2000.
 
Back
Top Bottom