Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Mkuu kumbuka kuwa yule aliyekuwa akiishi na Osama aliweza kudukuliwa na CIA, mpaka wakamvuta kwenye satellite ikawa rahisi kujua anaishi nyumba gani. Baada ya hapo kazi ikawa imekwisha. Mzungu akiamua kukufungia kazi ni ngumu kuchomoka.

Unajua wametumia pesa kiasi gani tangu waanze kumuwinda Osama?.
Sasa nikwambie hivi waliyokuwa wanamlinda ni huyo jamaa ni ISI walipoona hana shida ndiyo wakaunguza picha hawakujua wenyewe kupitia hizo mbinu.

Ujasusi waache ISI kama walivyo, mmarekani aliletwa hakuja mwenyewe nyingine ni porojo zao tu.
 
Mkuu naona unabishana na CIA pamoja na intelligence nzima ya USA. Labda chanzo chako cha habari na changu vinatofautiana.

Rada za Pakistan zilishindwa kuziona ndege, wewe unakuja na hadithi ya ISI!!.
 
Mkuu naona unabishana na CIA pamoja na intelligence nzima ya USA. Labda chanzo chako cha habari na changu vinatofautiana.

Rada za Pakistan zilishindwa kuziona ndege, wewe unakuja na hadithi ya ISI!!.
Kwani wakishindwa watakwambia, basi wangetumia hiyo satellite na hizo ndege kumaliza ishu ya Afghanistan ambapo wanapambana na isi wakitumia migongo ya vikundi vya wanamgambo.

Lile tukio ukilifuatilia lina utata mtupu, mambo mengi wameficha
 
Hao jamaa wa Afghanistan wanapasuliwa vichwa na wale snipers kila siku. Zile bunduki zenye darubini zinazoona maili tatu, zinawapasua vichwa hao jamaa kila kukicha.

Ni ngumu kushinda vita ambayo mtu yupo tayari kujilipua bomu. Nadhani umeona pale Kenya yule jamaa alivyojilipua.
 
Sasa kwa taarifa yako ISI ndiyo wanafanya vita iwe ngumu na sababu si hiyo
 
Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.

Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.

Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.

Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wa kwetu hata uwafundishe vipi hawawezi kuiva ki betle kwa sababu tumboni mwao kuna magimbi,miogo au makande.I mean askari yupo training lakini mawazo yake yapo nyumbani mwanae karudiswa shuleni kwa sababu ada. SO HAO UNAOSEMA SAS AU NEAVY SEAL HAWANA NJAA NA UTEUZI WAO SIO KUUNGANISHIANA KAMA SISI(BABA KANITUMA).
Nitarudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadeki huyo jamaa hapo Wa SAS gharama na mafunzo aliyopitia mpaka kuwa Hivyoo ni hao Wanajeshi wa kenya 10 na zaidi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo falaa anapiga kichwaaa tuuu yanii balaa tupuuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth

Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army unit ya Marekani Wanao operate Katika Sea, Air na Land (combat) Interview na Mafunzo ya Navy Seal ni Magumu kuliko kikosi chochote cha Jeshi Ulimwenguni ni Vigumu sana kupambana nao wanajua Sana Kutumia Silaha na Kujilinda kwa kutumia miili yao Katika Tukio la Dusit walikuepo Navy Seal

Kuna British Special Air Service (SAS) hawa huwa hawaonekani Hovyo ni moja ya Vikosi bora wakiwa wamebobea katika mambo ya Kupambana na Ugaidi, na Kuokoa Mateka katlka Tukio la Dusit alikuepo mmoja ambaye alifika na Gari yenye namba za Ubalozi Akiwa na Mavazi ya Kulinda Mwili na Silaha na Alipambana na Magaidi Direct Mpaka Waingereza wenyewe wanashangaa kuwaona SAS wakipambana mchana kwani huwa wanapenda sana kufanya shughuli zao usiku.

SAS na Navy Seals ni watu waliondoka bila hata mkwaruzo wowote.

SAS huyu ana Kisu kipo tumboni hapo kinaonekana hapo kwa ajili ya mapambano ya Mkono kwa Mkono ana Pisto ana Hiyo Bunduki inayoitwa Modified Colt Canada Rifle Japo kichwani hana Helment huku akiwa katupia Jeans.
View attachment 997444

Najiuliza Kwenye Nchi zinazoendelea Elites Forces Unit kama hizi huwa zipo? Je ni kutokana na Uonevu wa Alshaabab Nchini Kenya Waliombwa waanzishe makazi yao nchini Kenya?
Nani amekudanganya kwamba hao magaidi waliuwawa ama kuzibitiwa?wakenya wanacheza movie zao kama ule uongo wa jeshi kuwadhiti magaidi kwenye tukio LA westgate
 
Mkuu Hassan, naona siku za karubuni umewasoma sana hao jamaa, sio kwa kuwaelezea huku!.
Hao ndiyo pekee waliyomtumia kibaraka wao akaibe formula ya bomu la nyuklia Uholanzi, wakaiuza kwa nchi nyingine kujipigia pesa nyingi.

Pia wakaunda bomu lao la kwanza la Nyuklia bila watu kuchezesha msuli. Kuja kushtuka linajaribiwa, ndiyo wazungu wakajua wamepigwa.

Bado wana mission wamezifanya hata New york
 
Sisi wa kwetu hata uwafundishe vipi hawawezi kuiva ki betle kwa sababu tumboni mwao kuna magimbi,miogo au makande.I mean askari yupo training lakini mawazo yake yapo nyumbani mwanae karudiswa shuleni kwa sababu ada. SO HAO UNAOSEMA SAS AU NEAVY SEAL HAWANA NJAA NA UTEUZI WAO SIO KUUNGANISHIANA KAMA SISI(BABA KANITUMA).
Nitarudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kijana. Unadharau geshi retu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndiyo pekee waliyomtumia kibaraka wao akaibe formula ya bomu la nyuklia Uholanzi, wakaiuza kwa nchi nyingine kujipigia pesa nyingi.

Pia wakaunda bomu lao la kwanza la Nyuklia bila watu kuchezesha msuli. Kuja kushtuka linajaribiwa, ndiyo wazungu wakajua wamepigwa.

Bado wana mission wamezifanya hata New york
Kama wangekuwa bora kiasi hicho Pakistan ingekuwa mbali sana hata katika udukuzi wa kimaendeleo. USA na Russia wana maendeleo ya kiuchumi na kijamii kutokana na inteligensia zao. Pakistani zaidi ya ardhi yao kuotesha sembe hawana kipya.
 
Mbwembwe hizi za kusifia zingekuwa na mantiki sana kama kusingekuwepo na ndugu zetu waliopoteza Maisha, vyenginevyo ni mapambio tu
Mkuu kwa matukio kama hayo kutokea vifo ni kawaida hata kama wawepo hao SAS,kinachoangaliwa ni kupunguza ukubwa wa madhara na vifo.Rejea Operation thunderbolt kule Entebe miaka hiyo.
 
Hapa unazungumzia unit mbili tofauti zenye kazi mbili tofauti. ISI ni intel gathering organization ...

Wakati SAS ni direct action element. Counter terror group.
Maybe ungesema MI6 labda..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi upo nje ya behewa, huu ni ubishano uliianzia huko juu. ISI ni intelligence agency ya Pakistan,waliyoframe tukio zima la Osama kuvamiwa 2011. Ni out of the topic kama jamaa mmoja alivyotoka nje
 
Kama wangekuwa bora kiasi hicho Pakistan ingekuwa mbali sana hata katika udukuzi wa kimaendeleo. USA na Russia wana maendeleo ya kiuchumi na kijamii kutokana na inteligensia zao. Pakistani zaidi ya ardhi yao kuotesha sembe hawana kipya.
Wale ni no talking, action only ndo maana huwajui. Wameshakaa namba moja kati ya shirika la kijasusi kwa miaka kadhaa duniani, uwe unafuatilia mambo si propaganda za Magharibi kujitapa. Wakati hao majamaa, walishanawa mikono kila wakikata tonge
 
Sio sifa nzuri kwa nchi huru kuwa na majeshi ya kigeni ndani ya Ardhi yake. Hii ni mara ya pili kwa hawa askari wa Kiingereza kujihusisha na matukio ya kijeshi Kenya, wakati wa shambulio la ile shopping mall ya Westgate nafikiri mwaka 2013 kulukuwapo pia na askari mwingine (SAS) wa Kiingereza "aliesaidia" kupambana na wale magaidi na kuokoa watu!!!! Hii haileti picha nzuri nafikiri watu wanaojua sera za ulinzi wanaweza kutusaidia hapa lazima pawepo na protokali ya kuruhusu mwanajeshi wa nchi nyingine kuruhusiwa kuwa na silaha nchi nyingine wachilia mbali kushiriki katika shughuli zo zote za kivita ambapo live ammunition zitatumika. Nafikiri WaKenya waje hapa watufahamishe hii ikoje. Unapokuwa na makombando hatari hawa nchini mwako na wana access ya silaha unajihakikishiaje usalama wa serikali yako…? Ingawa nchi yetu Tanzania iko nyuma kwa mambo mengi na siku hizi mabadiriko yamekuwa mengi kwetu pia lakini sijui kama tumefikia hapo. Na kwa wale wanaopenda kuwapa sifa sana hivi vikosi vya Navy Seal (USA) au SAS (UK) hebu tujiulize wameshindwa nini kumaliza mtanange unaondelea kule Afghanistani wanakopambana na Taliban wanaovaa masulupwete mpaka leo wanataka suluhu ya kuongea kuyamaliza??!!! Wazuri ni kweli lakini binadamu tu.
 
Back
Top Bottom