Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Nawakubali kwa level yao ila hatuwezi kufikia kiwango cha hawa majamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawakubali kwa level yao ila hatuwezi kufikia kiwango cha hawa majamaa
Sasa nikwambie hivi waliyokuwa wanamlinda ni huyo jamaa ni ISI walipoona hana shida ndiyo wakaunguza picha hawakujua wenyewe kupitia hizo mbinu.
Ujasusi waache ISI kama walivyo, mmarekani aliletwa hakuja mwenyewe nyingine ni porojo zao tu.
Huyu ukikumbana naye ana kwa ana wala hapotezi risasi. Bisu tu tosha, unabaki ukikoroma.Mazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth
Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army unit ya Marekani Wanao operate Katika Sea, Air na Land (combat) Interview na Mafunzo ya Navy Seal ni Magumu kuliko kikosi chochote cha Jeshi Ulimwenguni ni Vigumu sana kupambana nao wanajua Sana Kutumia Silaha na Kujilinda kwa kutumia miili yao Katika Tukio la Dusit walikuepo Navy Seal
Kuna British Special Air Service (SAS) hawa huwa hawaonekani Hovyo ni moja ya Vikosi bora wakiwa wamebobea katika mambo ya Kupambana na Ugaidi, na Kuokoa Mateka katlka Tukio la Dusit alikuepo mmoja ambaye alifika na Gari yenye namba za Ubalozi Akiwa na Mavazi ya Kulinda Mwili na Silaha na Alipambana na Magaidi Direct Mpaka Waingereza wenyewe wanashangaa kuwaona SAS wakipambana mchana kwani huwa wanapenda sana kufanya shughuli zao usiku.
SAS na Navy Seals ni watu waliondoka bila hata mkwaruzo wowote.
SAS huyu ana Kisu kipo tumboni hapo kinaonekana hapo kwa ajili ya mapambano ya Mkono kwa Mkono ana Pisto ana Hiyo Bunduki inayoitwa Modified Colt Canada Rifle Japo kichwani hana Helment huku akiwa katupia Jeans.
View attachment 997444
Najiuliza Kwenye Nchi zinazoendelea Elites Forces Unit kama hizi huwa zipo? Je ni kutokana na Uonevu wa Alshaabab Nchini Kenya Waliombwa waanzishe makazi yao nchini Kenya?
Ila mleta mada punguza mahaba!! Eti SAS na SEAL ndiyo vikosi bora ulimwenguni!! Vikosi vya wengine unavijua?? Au series na propaganda za kimarekani zimekupa upofu???
Operesheni nyingi tu za SEAL zimeshindwa, tena huko Somalia, Yemeni ,Afghanistan n.k.
JF ni zaidi ya chuo kikuu.Kila kitu kipo humu mkuu!Daah umejuaje yote haya mzee nawewe ... unahusika kwahyo field nn
Huyo SAS alikuwa yuko kikazi nchini Kenya. Anatoa mafunzo. Siku ya tukio alikuwa mjini kwenye msele yake ila kwenye gari alikuwa na zana zake zote. Akavaa akawahi eneo la tukio.Nyenzo si kigezo. Kama angekuwa ameagizwa kwa kujua kuwa kutatokea tukio angekuwa in full gear. Full gear means ungeona head gear combact.. ikiwa imejaa kila kitu.
Sema nayo inategemea na mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikutwa akiwa eneo la tukio akiwa tayari amevalia kimapambano?Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.
SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.
Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa na mzigo wote kwenye gari. Aliposikia hilo tukio akavaa akaenda kusaidia.Kwahyo alikuwa akizurura na hzo silaha katika jiji la Nairobi kabla ya tukio? Au unataka uniaminishe kuwa baada ya tukio wanajeshi wa Kenya walimpa hzo silaha kisha akaungana nao kupambana na magaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama akutumwa izo sare kazitoa wapi na hapo anapewa maelekezo na mtu aliyevaa bracelet ya bendera ya Kenya,je unataka kusema awajuani mkuu?Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.
SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.
Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanafichwa awazaliani?Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.
Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.
Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.
Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Je na yule kila tukio anatokea kule Kenya kuanzia la Westgate hadi hili ni SAS mkuu?
MmmmhNchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.
Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.
Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.
Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
SAS umeridhika mkuu?Nimewakumbuka wale waliompiga risasi tundu lisu wametoka kikosi gani
Wale jamaa pia SAS?Umenikumbusha yule mmojawapo kati ya wale wawili wanayekuwa pembeni ya JPM, sio yule mweusi namaanisha yule mzenji, siku moja alimuwekea vidole bosi mmoja maeneo ya mbavu, jamaa akajikuta anakuwa mpole.
Huyo mjomba akamwambia kibosile hapa nikizidisha kupeleka vidole vyangu mbavuni mwako, nakuondoa duniani.
Sasa kama akutumwa izo sare kazitoa wapi na hapo anapewa maelekezo na mtu aliyevaa bracelet ya bendera ya Kenya,je unataka kusema awajuani mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
We muongo nliwai kusoma Kenya primary school na nliwajua GSU bhanaaNaongea kitu najua ila kama siku hizi, hata shemeji yangu alikuwa member wa GSU
Alikutwa akiwa eneo la tukio akiwa tayari amevalia kimapambano?
Kesho wakivunja tutofali vya udongo pale taifa full shangweSasa ndugu Phillipo, ubora wa mwanajeshi unaonekana kwa kutishia kuua raia wa kawaidi au kupambana na watu wa aina yako ? Huyu SAS kapambana na wanejeshi wenzako ambao walikuwa wanafanya ugaidi ndiyo maana tukasema ni bora. Sasa huyo Mzenji wetu kaminya mbavu za raia wa kawaida na kutishia kuua halafu wewe unamleta hapa. Kazi kwelikweli.......
Sent using Jamii Forums mobile app