jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Yasome kwa sauti hayo maneno kwenye avatar yangu!Kama wewe ulivyo na training maalum ya kumsifu huyo kwenye avatar yako.
Halafu tupe mantiki ya Lissu kunitrain nimtakie kupona haraka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yasome kwa sauti hayo maneno kwenye avatar yangu!Kama wewe ulivyo na training maalum ya kumsifu huyo kwenye avatar yako.
Hmm!... Kwani huko peponi kuna ngono?...Magaidi wakishakaririshwa kile kitabu chao akili zinahama kabisa wanaona hapa duniani hapafai.
Wanawaza kuwahi mabikira huko peponi
Wale wanatoka ktk kikosi kinachoitwa, "Wasiojulikana Counter-Opposition and Dissident Elements Liquidation Unit".Nimewakumbuka wale waliompiga risasi tundu lisu wametoka kikosi gani
Mzenji mlinzi ni komandoo kama hao SAS. Nyinyi mliozaliwa kwa makusudi maalum mbona ni wapuuzi tu mnaomalizia hasira kwenye uzi wa jamii forum!!.
Kustaaf kwao haimaanish hawaruhusiw kubeba silaha. Wanakuwa nazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikuwa na mjadala wakati wa Operation ya kumuua Osama kwamba kipekekwe kikosi kipi kati SEAL Team au SAD/SOD cha CIA. Walihitaji kikosi bora kabisa kwa ajili ya mission hiyo nzito. Sasa ndugu unasema Seal sio bora kuliko Delta?SEAL hawako fit kiivyo. Ila SAS wako vizur.
Delta force ambao huwa wanafanya kazi kwa siri.. sometimes C.I.A huwaajiri kwa muda under SAD, kama CAG operators.
Delta force waasis wake ni SAS, new zealand SAS NZSAS, Australia.. majesh mengi europe uasis umeanza kutoka SAS. Na baadhi ya nchi za asia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia ubongo badala ya mafua hapa tunazungumzia special forces.... nakubaliana na wewe! Kama lile lililong'ata konda kule Tunduma liko vizuri mno maana linatumia silaha "zote".
Hata PSU wanatisha kwa shabaha. Akikulenga hakukosiSAS ni walenga shabaha mashuhuri sana, hata ukiwa mbali kivipi wanakutungua
Pamoja na kuwa na wavunja matofali ushawahi kusikia matukio kama hayo ya Kenya?
kwa kuappreciate ubora wao ndio maana hata katika signature yangu nikatumia motto yao " Who Dares Wins"
Ukiona wale magaidi vidole na mikono yao unajua kuna kazi ya ziada ya sniper kuzuia wale wawili kujilipia...the sniper job was well done.safii...ndio maana safari hii shughuli imeisha mapema...maana hivi "vikosi maalum" vya kiafrika hua vmejikita zaidi katika kukabili waandamanaji na magaidi ya upinzani wa vyama vya siasa......mambo ya west gate yyale yaliwashinda wakaishia mpaka baadhi kukwapua vitu vya super market! asanteni sas na US navy SEALs
Ndio wanavyofundishwa hivyo. We unadhani ile mizuka ya kujitoa mhanga wanatoa wapi?Hmm!... Kwani huko peponi kuna ngono?...
Hicho kizibao na hizo silaha alizotoa wapi wakati huo wa ghafla hivyo?huyo ni full duty SAS.Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.
SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.
Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nimepata mashaka sanaMkuu mbona huyu jamaa hajakaa ki off duty off duty? Naangalia nyenzo zake si za ki off duty…
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi cha MaliyaMungu BashiteNimewakumbuka wale waliompiga risasi tundu lisu wametoka kikosi gani