R Rog chimera JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 398 Reaction score 706 Sep 25, 2024 #1 Sisi ofisini kwetu tulihangaika sana kumpata IT aliyebobea ,kila aliyekua anakuja aligundulika kuwa kiazi. Wewe/nyie je???
Sisi ofisini kwetu tulihangaika sana kumpata IT aliyebobea ,kila aliyekua anakuja aligundulika kuwa kiazi. Wewe/nyie je???
King Sae JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 3,282 Reaction score 6,471 Sep 25, 2024 #2 Shida ni offer yenu....mnataka IT competent kwa laki 7