Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How... Umaskini uwe expensive..?Naunga mkono hoja.📌
Mfano..Umaskini ni gharama sana.
Poverty is to expensive.
Anyone who has ever struggled with Poverty knows how extremely is expensive to be poor.
Mkuu acha kabisa, acha tuuu...Nauli za dogo kwenda na kurudi shule acha kabisa......
Wazaz wetu walikuã na akili sana watoto saba na wote wanasoma na ela ya kula mnapewa kila mmoja
Kuwa maskini ni gharama sana kwa sababu maskini kila kitu kwake ni gharama ambazo mara nyingi kuzimudu huwa inakuwa mtihani mfano,anaweza kupata shida ya ghafla ambayo inatatulika na 💰 na yeye hana hela hiyo,inamgharimu sana kuipata hela hela kwa maana ya kukopa au kufanya means yoyote ile ili atatue jambo lako.How... Umaskini uwe expensive..?
umenigusa kabisa. Mzee alikuwa ana tabia akisikia bomba hazijafungwa vizuri anapita anazifunga, taa zinazowaka mchana anazima sikuwa namwelewa. sasa hivi napitia the same na wao hawanielewi.Matumizi ya nyumbani kwa ujumla wake kuanzia bili za maji na umeme, vyakula na mahitaji yote aisee ukiwa mtoto feni huzimiz pasi unawasha kisha unaanza kutafuta nguo za kunyoosha, bafuni maji unafungua kwanza yamwagike huku unajishauri mda wa kuanza kuoga, dawa ya meno unabonyeza nyingi iwezekanavyo. Ila ukijitegemea vyote hivo unafanya kwa adabu
umenigusa kabisa. Mzee alikuwa ana tabia akisikia bomba hazijafungwa vizuri anapita anazifunga, taa zinazowaka mchana anazima sikuwa namwelewa. sasa hivi napitia the same na wao hawanielewi.
Yani hawawezi kukuelewa yani kuna vitu vingi ukishakuwa mtu mzima ndipo unaanza kuelewa wazazi wako. matumizi ya ndani aisee ni pasua kichwa na hizo bills. wewe kama mimi yani now nina uwezo mkubwa wa kusikia matone ya maji 😀Hahahaha nimecheka. Hii ndio tabia yangu sasa yaani nikisikia tone bafuni ama jikoni lazima nikafunge vizuri. Na kama maji yamekatika lazima nihakikishe mabomba yote yamefungwa vyema maana kuna mtindo wanayaacha wazi ili maji yakirudi wajue.
🤣🤣🤣🤣🤣Wakati fulani tulikuwa tunashea bill ya maji,wapangaji watatu kwa maana nyumba,so huyo sista duu kwakwe kuna katanki ka lita 1000,basi kanaa jaa usiku halafu kana mwaga maji usiku kucha,kwakuwa tunashea akachukulia poa
Tukaona ujinga,kabla hajaja yeye tulikuwa tunalipa bill 20,000 kila mtu,baada ya yeye kuamia dau mpaka 60,000 kila mtu,hapana sio sawa,tukaongea na faza house kila mtu akafungiwa kimita kidogo kujua gharama za kila nyumba,mbona mshenzi yule baadae alikuwa na adabu ya kuheshimu maji, "utamsikia maji yakijaa fasta mfunge bomba"
Niliwahi kaa sehemu na kuna apartment uchwara nne. kila apartment mbili zinashare mita moja. Yule jamaa niliyekuwa nashare naye umeme alikuwa mjeda halafu mbishi kinoma. Ana TV nchi sijui 55 ya plasma inakula umeme kama pasi. akienda kazini analiacha limewaka, tukawa kwa mwezi tunanunua umeme wa 80,000 mimi na yeye tu na hakuna aliyekuwa na familia.Wakati fulani tulikuwa tunashea bill ya maji,wapangaji watatu kwa maana nyumba,so huyo sista duu kwakwe kuna katanki ka lita 1000,basi kanaa jaa usiku halafu kana mwaga maji usiku kucha,kwakuwa tunashea akachukulia poa
Tukaona ujinga,kabla hajaja yeye tulikuwa tunalipa bill 20,000 kila mtu,baada ya yeye kuamia dau mpaka 60,000 kila mtu,hapana sio sawa,tukaongea na faza house kila mtu akafungiwa kimita kidogo kujua gharama za kila nyumba,mbona mshenzi yule baadae alikuwa na adabu ya kuheshimu maji, "utamsikia maji yakijaa fasta mfunge bomba"
Yaan kuna watu wapumbavu sana aisee,hawajui wanaumiza wenzao hivi hiviNiliwahi kaa sehemu na kuna apartment uchwara nne. kila apartment mbili zinashare mita moja. Yule jamaa niliyekuwa nashare naye umeme alikuwa mjeda halafu mbishi kinoma. Ana TV nchi sijui 55 ya plasma inakula umeme kama pasi. akienda kazini analiacha limewaka, tukawa kwa mwezi tunanunua umeme wa 80,000 mimi na yeye tu na hakuna aliyekuwa na familia.
Nikimweleza haelewi. Mungu fundi kuna kipindi akaptia msoto, sijui alikuwa na msala gani kazini huko mbona alianza kubudget maana ilipokuwa ikifika zamu yake hana ela ya umeme so ili kupunguza bill akawa analiwasha kwa muda.
Hilo jambo ambalo anatumia gharama kutatua ndo source ambayo hapa tunesema ni ""kitu gani ulijua ni gharama """Kuwa maskini ni gharama sana kwa sababu maskini kila kitu kwake ni gharama ambazo mara nyingi kuzimudu huwa inakuwa mtihani mfano,anaweza kupata shida ya ghafla ambayo inatatulika na 💰 na yeye hana hela hiyo,inamgharimu sana kuipata hela hela kwa maana ya kukopa au kufanya means yoyote ile ili atatue jambo lako.
Tofauti na upande wa wenzetu wana changamoto zao nakubali lakini hatuwezi fananisha na zetu.
Una point usikilizweHilo jambo ambalo anatumia gharama kutatua ndo source ambayo hapa tunesema ni ""kitu gani ulijua ni gharama """
Lets say na umaskini wangu huu huu nilipo kuwa mdogo nilikua najua Umeme ni bure tu..
Lakini nimekua mtu mzima naelewa kumbe show ya umeme sio poa..
Sasa unaposema umasikini ni gharama kama una generalize hivi....
Kutoka kwenye umaskini ndio gharama ila umaskini wenyewe huwezi kuwa gharama...
Kinachofanya ugharama ni pale unapotaka kujitoa katika huo umasikini ...
Nakaa na watu wa namna hiyo hapa hom..Yaan kuna watu wapumbavu sana aisee,hawajui wanaumiza wenzao hivi hivi
Kulea mtoto ni ishu nyingine mkuu ooooh ndo maana vijana now wanapeleka mtoto nyumbani huku yeye akiwa anajipiga piga atatuma matumiziNyingine sijui kama itakuwa gharama au nachemsha i don't know,kulea mtoto mchanga ni gharama au usumbufu,baada ya kupata mtoto wa kwanza ndo nikajua kumbe wazazi walifanya kazi,kile kitendo cha sometime unakesha hulali mnabembeleza mtoto,au yeye anaamka mida mibovu anataka mcheze ndio nikajua kuzidi kuwaheshimu wazazi
Mahari hasa uchagani. Kibaya zaidi hawaujui kupikaKwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja na kumwaga yaliyosalia. Mama alikuwa akilalamika kwamba mafuta yanaisha haraka. Lakini tangu nilipoanza kujitegemea, imekuwa nadra sana kwa chakula changu kuwa na mafuta ya ziada.
Ni kitu gani ulikuwa unatumia hovyo kipindi bado unaishi Nyumbani ila sasa umekuja kujua ni bei?
Wanakwepa majukumu mazito😂😂Kulea mtoto ni ishu nyingine mkuu ooooh ndo maana vijana now wanapeleka mtoto nyumbani huku yeye akiwa anajipiga piga atatuma matumizi
Yaaah mambo yale yasikie tuu mkuuWanakwepa majukumu mazito😂😂