Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora..ila ukija kubadilika hakuna rangi ataacha kuona😅😅
 
Naona unataka kunitisha..😂 mpk kamoyo kamefanya pwaaaa..! Wacha zako..

Kuna watu huwa wanatembea bila hata sababu! Sababu zitapatikana hukohuko kwenye matembezi..😜
We dawa yako ni kukutuma tu..
Bradha 🤝🤝🤝🤝🤝🤝nakuona😅😅
 
Sio porini mtakatifu mwambie ajenge he msituni...😅😅
 
Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora..ila ukija kubadilika hakuna rangi ataacha kuona[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue Mimi sometimes nasemwa Sana kuwa najisikia.
Binadamu gani sitaki kujichanganya na watu..ila najichanganyaga tu j2 kwa Sababu tu sina namna na nikiwa na mama yaani ndio tutasalimia watu mweee hadi nachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…